Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 40,566 Reaction score 63,063 Nov 20, 2018 #41 Imenipa uvivu kusoma
Chiblak JF-Expert Member Joined Jul 3, 2014 Posts 728 Reaction score 987 Nov 21, 2018 #43 Shahada ya social science Mara IT? mara umekaa bila mwaka mmoja mara miwili?
J JoashBenard New Member Joined Jan 10, 2022 Posts 1 Reaction score 0 Jan 11, 2022 #44 Binafsi nimekuelewa sana mkuu, follow your heart, go for it. Usikubali kuvunjwa moyo na mtu yeyote, songa mbele kaka
Binafsi nimekuelewa sana mkuu, follow your heart, go for it. Usikubali kuvunjwa moyo na mtu yeyote, songa mbele kaka
M mtani21 JF-Expert Member Joined Jun 30, 2021 Posts 954 Reaction score 1,554 Jan 11, 2022 #45 Ndipo nilipoona mwandishi kabugi. Magimbi said: Hii chai bhana..otherwise kuna mahala pa kurekebisha..kwanza alisema ana shahada ya Sayansi ya Jamii kisha akabadilika ana shahada ya IT..kwengine hajakosoe kutiririka sana..alaste viste.. Click to expand...
Ndipo nilipoona mwandishi kabugi. Magimbi said: Hii chai bhana..otherwise kuna mahala pa kurekebisha..kwanza alisema ana shahada ya Sayansi ya Jamii kisha akabadilika ana shahada ya IT..kwengine hajakosoe kutiririka sana..alaste viste.. Click to expand...
M mtani21 JF-Expert Member Joined Jun 30, 2021 Posts 954 Reaction score 1,554 Jan 11, 2022 #46 Hakuna anayemvunja moyo. Tunahitaji kupata maelezo sahihi sehemu zenye ukakasi. Kumsifia tu hata kwenye makosa n kutomsaidia Mwandishi JoashBenard said: Binafsi nimekuelewa sana mkuu, follow your heart, go for it. Usikubali kuvunjwa moyo na mtu yeyote, songa mbele kaka Click to expand...
Hakuna anayemvunja moyo. Tunahitaji kupata maelezo sahihi sehemu zenye ukakasi. Kumsifia tu hata kwenye makosa n kutomsaidia Mwandishi JoashBenard said: Binafsi nimekuelewa sana mkuu, follow your heart, go for it. Usikubali kuvunjwa moyo na mtu yeyote, songa mbele kaka Click to expand...
Mr Devil JF-Expert Member Joined Jul 7, 2019 Posts 15,287 Reaction score 35,509 Jan 12, 2022 #47 Akianza kuomba hela ya kitabu mni shtue