leonard mwenda
JF-Expert Member
- Nov 5, 2015
- 253
- 64
Closed
Nyani Ngabu ana thread ya wadada wa Dar na kupenda pesa
usikute buku 5 ndo imefanya asipokee simu...wadada wa Mwanza nao kama Dar tu[/QUOTE
]
Ila nilimuahidi kwamba nitamtumia mda wa mchana coz hata yeye alikua satisfied kwamba sikua na kitu by that moment.Nyani Ngabu ana thread ya wadada wa Dar na kupenda pesa
usikute buku 5 ndo imefanya asipokee simu...wadada wa Mwanza nao kama Dar tu
Mkuu mbona wa club watu wanabeba daily that means they don't have timetables??Mkuu ushauri Wa Nini??
Hapo piga goti sali saana kwa Mungu kukuepushia hilo jaribu. Ukiweza toa Haata sadaka.
Mwanamke unakutana nae from no where unalala nae??? Hakuwa na ratiba???? Zake
Hao hawatafutwi Mara ya pili. Mwenzako yupo kikazi zaidi
Hahahaaa kuoa tena mkuuKama hata haumjui unahangaika nini? Si ushakula mzigo au unataka kumuoa?
Ha haaa.... Hapa mjini Hiyo 40 ni pesa za rasta tuuDar mkuu baki huko huko mwanza ..yani kwa 40, mekula mkanywa na mkaenda lodge ya 15, na bado ukampa 5, na ww ukabaki na buku 2..ni noma
Kumpa hela mwanamke ni kama umetoa msaada au sadaka tu, expect nothing in return....as payback utaishi maisha simple sana bila kujaliNyani Ngabu ana thread ya wadada wa Dar na kupenda pesa
usikute buku 5 ndo imefanya asipokee simu...wadada wa Mwanza nao kama Dar tu
Hapana kaka c changu ni gal anayefanya kazi kwa hotel na alinielekeza mpaka anapofanyia na 1 day nilienda kumuuliza nikaambiwa kweli anafanya kazi pale.Ulikula changudoa wewe
??? Roughlider on flakes mkuu! C bora hao kuliko wale wa corner bar.Ngoma jamani, mnalala tu na watu msiowajua mtakuja kutuimbia humu "Ngoma inogilee, ngoma imekoleaa"
No wonder unaweza fanya hivyo "roughlider" : angekukata nyeti usiku au kukuua wewe ungetumia hiyo "roughlider" yako wapi tena? Wengine warembo wa usiku ni wanga??? Roughlider on flakes mkuu! C bora hao kuliko wale wa corner bar.
Muhimu mkuu! Ila alikua yuko tayari hata dry aisee.Ulikumbuka zana???