Hakuna aliyezaliwa na hela. Wanawake wengi huwakimbilia wanaume waliofanikiwa na hawajui wengine walipitia ktk shida ya kupambana km mtoa uzi.
Ukitoa mapenzi, hakuna kitu chochote mwanamke anaweza kukupa.
Mwanamke analingia mbususu lkn kwenye masuala mengine hakuna kitu. Wanajiona very special
Baada ya mtu kufanikiwa, wanajipendekeza. Ndiyo maana huwezi kumkuta mwanaume aliyefanikiwa anahangaika kumpenda mwanamke, yupo radhi asafiri, akae huko hata miaka 3 anafanya biashara kuliko kukaa na mwanamke nyumbani