EL ELYON
JF-Expert Member
- Jan 2, 2013
- 1,675
- 2,115
Wakuu mmebarikiwà Sana na Mungu WA Mbinguni hakuna laana.
Moja Kwa moja kwenye mada. Nilipohitimu chuo niliamua kuanza maisha ya kujitegemea rasmi yaani mi nilihama nyumbani kabla sjaenda kupanga nikianza kuishi kwenye nyumba ya Mzee ambayo ilikuwa haijakamilika Sana nilikiweka Sawa chumba kimoja nikaanza kuishi humo mbali sana na home. Nikiwa na Yule muha kipindi hicho sasa ndo maisha yameanza kibishi check haya matukio.
Kiasi cha pesa nilichokuwa nacho kilipoisha Mambo yalibadilika Sana nakumbuka kuna siku nilitoka home hamna kitu hata maji ya kunywa Tu hakuna si mnajua maisha ya dar Kila kitu hela. Nilizunguka huko na huko kupata chochote japo nipate hata maandazi nipeleke nyumban Yule mdada ale hata Mimi nispokula poa Tu.
Aisee mpaka inafika saa SITA mchana empty nilitembea km nyng Sana nikakutana na car wash nikaomba kuosha kama msaidizi hapo mkumbuke sjawahi OSHA magari jamaa wakanikubalia nilipiga kazi Sana aisee utadhan mzoefu nilifanya kazi mpka Saa 12 jioni sjala chochote na home yupo mdada anasubiri ilipofika muda wa kuondoka jamaa wakanitoa buku 2 nilitoka speed nikanunua viunga na mihogo kidogo na dagaa za jero kufika home namkuta mdada kalala nikamwambia amka upate chochote mi nifate maji kisha tupike ule.
Aliamka akala mkumbuke mi pia sjala wala kunywa chochote na skumwambia Hilo wala sikumwambia hela nmetoa wapi kwa kazi gani. KeSho yake tena nikaenda pale car Wash asubuhi Sana jamaa wakanambia hakuna maji na kuna tank la Lita 200 inatakiwa lijae vp naweza kusomba wasiite gari maana maji yalikuwa jiran na Tu chini ya daraja nikawaulza Kwa SHS ngp wakasema 5000 aisee niliamua kukomaa nilipewa ndoo mbili nilisomba maji hatari kuanzia asubuhi mpaka jioni by Saa kumi Nikawa nimemaliza Niko Hoi mikono mpaka imejaa malengelenge.
Wakanipa bk tano yangu nikasepa Kwa muha home na mazaga kidogo nikampa na buku kama akiba yake. KEshO yake nilienda tena car wash nilipga kazi Sana jioni muda wa kuondoka jamaa wanasema Leo hawajapata gari Sana na boss anadai rejesho kwahiyo hamna kitu nilichoka aisee nilipofika home muha nampa Hali halisi sjapata hela eeeh Acha achukie hakuna kunijari wala kunisemesha hapo sjala chochote na hajui mi napambanaje nilinyamaza Tu nikalala.
TUkio lingne siku moja Hali ilikuwa Tete Sana nilitoka asubuhi ndani hamna kitu mdada yupo nilizunguka weee nikabahatisha buku moja nikanunua vidagaa na unga nusu SASA shughuri ikaja home mkaa umeisha tutapikia nini. Nikapata wazo mazingira ya pale yanaruhusu kupika kuni mmmh nazpata wapi sasa na muda huo ilikuwa Saa mbili usku sjala tokea asubuhi.
Wkati narudi njiani nilikutana na limeza bovu lipo njiani nikaona linafaa Kwa kuni nikabeba eeeh Ile bado Mita chache kufika home kuna jamaa nilikutana Naye akanisimamisha akasema Hilo limeza ni lake na uncle wake nimeliiba akampigia simu uncle wake uncle wake akasema twende mpaka pale nilipolichukua aje tukaenda tukawa tunamsubiri huku jamaa akiniita mwizi na vitisho vya kupelekwa polisi mi nipo kimya Tu.
Ulipita muda mrefu Sana Yule uncle WA jamaa hajaja mwisho WA siku akapiga simu akasema kapata emergency kwahiyo Hilo limeza lipelekwe kwake na niachwe Tu nikabebeshwa mpka huko kwa uncle WA jamaa kufika pale mshikaji ananitambulisha Mimi ni mwizi amenikamata nmeiba Hilo limeza daaah.
Niliumia Sana Ila sikuwa na namna niliporudi home mdada ananiangalia Kama Choo nikatafuta vikuni nikawasha nikaanza andaa chakula nikaivisha nikamuita akaja Kula huku hanisemeshi chochote ananiona kama sjielewi Tu.
Niliwaza Sana nikamshauri aende Tu kwao nimtafutie nauli hataki. Wakati naendelea kupambana nikapata hela kidogo nikafungua kiduka chenye mahitaji ya Kila siku na nilikifungulia hapo hapo tulipokuwa kidogo kilitupunguzia makali.
Sasa ye alikuwa amesomea ualimu nafasi zkatoka amepata ajira dar hapo hapo sa ilihitajika pesa ya nauli na Mambo madogo madogo ili awe anaenda huko manispaa kufatilia hayo Mambo ya kazi nilipambana sana japo Kila siku apate buku mbili ya nauli na atoke amekunywa chai asubuhi ilikuwa hivyo takriban wiki nzima mi mpaka nilikuwa nashinda njaa ili yeye apate nauli na ale.
Ulipita kama wiki nikashangaa mwenzangu akiamka asubuhi haombi nauli tena wala hanywi chai tena Bali anaamka anaoga na kuondoka anarudi usku akifka anaoga analala chakula Hali mara kaja kanunua viatu vipya mkumbuke hapo mi bado napambana Sana.
Nilianza kuwaza Sana sasa huyu mdada vipi hela ametoa wapi aisee nikagundua kumbe huko manispaa kuna hela walilipwa ilibidi nimuulze kulikoni mwenzangu Kama umepata chochote si tujulishane Tu akawa mkali kweli akanijbu Kwanza ye anataka aende huko shulen akaripoti kwahiyo nisimpotezee muda na maneno mengne ya kejeri Sana nilishikwa na hasira Sana usku ule kweli nilimpa kibao kizto eeeh si akainuka akabeba pande la tofari akaja nalo anataka kunipa nalo nikamuwahi nikampa Kofi lingne akakimbia mara mida kama ya Saa Saba usku naona pikipiki tatu znaingia kumbe ni maaskari aliponiacha nimekaa ndo hapo hapo alinikuta wale maaskari wakawa wanauliza Nani hapa anafanya vurugu mi nawaangalia Tu Naye akawa hasemi chochote baadae nikawaulza mna shida na Nani wakajbu na jamaa anayeishi na huyu Dada nikamwambia ndiye Mimi hapa wakawa wakali Sana wananitishia mi skujibu kitu Kila wakiulza mi nipo kimya Tu.
Mmoja WA Askari akanitoa pembeni akaanza niulza shida nn nikamweleza basi akasema nisifanye lolote kesho niende ktuoni Ila huyo mdada wataondoka Naye mi tamkuta huko kesho nikawambia Sawa kweli walirudi Naye huko na sikwenda wala nini mchana nikamuona muha huyo anarudi.
Nilijfunza kitu kikubwa Sana kuhusu wanawake aisee hawa viumbe hawa usione mtu anafanya tukio ukamlaumu.
Nilifanikiwa kupata kazi Kwa mzungu mmoja kazi ya records maisha yakawa poa Sana tukahama kabisa pale kwenye nyumba ya Mzee sasa pale nilipopata kazi nilimkuta mdada mmmoja WA kimasai ambaye ilitakiwa atoke kwenye hicho kitengo ahamie kwenye masoko kumbe alikuwa hataki.
Nilikutana na vita Kali Sana mpaka ushirikina juu Yule mdada akawa ananifanyia vituko ili nifukuzwe kazi arudi ofsini atoke kwenye masoko.
Aisee niliamua kutafuta kazi nyingine huku napambana pale ofisini maana nilikuwa nilifanya kaz kesho yake asubuhi nilifika nakuta zmefutwa zote kwenye pc ya ofisi bosi anamind vibaya Sana sjafanya kazi kumbe Yule mdada ndiye alikuwa anafuta pale ofsni.
Hatimaye nilifukuzwa kazi aisee huku sjapata kazi nyingine. Sikutaka kumwambia muha kuwa nmefukuzwa kazi nilichokfanya Nikawa naendelea kuamka asubuhi kama kawa naenda town kutafuta kazi wakati mwngn nilikuwa natembea Kwa miguu kutoka mbezi kimara mpaka posta kwenda na kurudi sjala wala kunywa.
Mwisho salio likakata Moto ukaanza upya na muha nakumbuka kuna nikiwa natembea njian natoka mbezi naenda town Kwa miguu jua Kali njaa Kali Sana kiu Kali naona SMS ya muha inaingia INASEMA katika wanaume we nawe ni mwanaume, we suruali Tu huna lolote na maneno mengne mengi Tu ya ajabu ajabu Ila sikukata tamaa nilisoma nikajipa moyo kisha nikaendelea na Safari yangu.
Haya matukio ni miaka kadhaa imepita kwani kwasasa nipo ok Tu. Leo taishia hapa taendelea tena next time.
Wakuu nadhani nmegundua vile ukikosea kuoa ni yapi yanaweza kukupata karibu Kwa maoni ,kejeli, matusi, povu NK.