Sitarudia!

Sitarudia!

Kuna kitu kiliwahi kunitokea nikaapa sitorudia..
Kulikuwa na jirani yangu mke wa mtu. Sasa akawa amenishobokea mi nkala mzigo. Nilivomaliza tu nilijiskia vibaya sana kumsaliti mchumba wangu kipindi hiko maana ni mtu mwema na ananipenda sana. Nikaapa sitorudia. Leo ni miaka 10 sijacheat na sina mpango. Je wewe ni tukio gani hutorudia maishani mwako? Karibu ufunguke.
Miaka 10 hujachepuka ila mwenzawako kila weekend anapigwa pembeni.
 
Miaka 10 hujachepuka ila mwenzawako kila weekend anapigwa pembeni.
Sina uwezo wa kumzuia kufanya hayo. Nina uwezo wa kuizuia nafsi yangu. FYI she is loyal and faithful. I know.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom