Sitaomba kazi tena, wacha niwe jeuri tu!!

Wakuu naandika huu uzi inshort nmeridhika sahivi sina hta nyege ya ku apply kazi yotote ile kama kutafuta kazi nmetafuta nimechoka na upper second nzuri tu lakin ndo hvo nmeenda kila kona patupu, nmeenda taasisi zote unazozijua wewe hapa dar patupu, nimefanya kila naloweza fanya nipate hta connection patupu, sisi watoto wa wakulima ambao hatuna ndugu huko maofisin iwe bahat yako tu, nimeshangaa hapa mtaani mtoto wa mtu mkubwa tu hana kazi tunacheza ps wote kitaa.

Sasa sahiv me si apply kazi kama ipo, ipo tu siforce mambo huwez jua mungu ananiepusha na nini, utakuta mtu anatafuta kazi anaandika uzi humu Jf lijitu linatoka wapi lina comment shit eti jiajir how wkt sina pesa, ukisema uende bank unakutana na collaterals mwingine anakwambia uza mchicha, nyanya hivi msom wa chuo auze nyanya gengen kwel?? Au mwingine anakwambia uza karanga wtf??. Afu wa form4 afanye nn??

Nashukuru mungu wazaz wangu ni wazma wote nakula, nakunywa wanajua hali halis sina kaz wananihidumia. Nikiamka asbh nakunywa chai fresh, mchana nakula usik nakula maisha yanatak nn kwangu. Nikichoka naenda seblen kuchek movie sina habar life linaenda nimepoteza pesa nyingi kutafuta kaz bila mafanikio sasa nimeamua kutuliza akili. Kama biashara nilianza ikafa utanambia nn nifanye?.

Wale jobseekers wenzangu tusikate tamaa kama ipo ipo tu usiforce mambo. Wanaokwambia fanya biashr unakuta yy anakaz na mikopo anayo. Trust nobody except your parents and Live your life.
Sema nini mdogo wangu,mi nakuelewa! Sema nini kaka, apo unafeli..kukata tamaa apo unafeli sana. Komaa man, 1year ndogo sana kwa game la ajira la sasa. Ajira zinazingua,ila ukikomaa sana,unascore mzee. Kibaruani nilipo,kuna mwana amegraduate 2013 anajitolea,but I bet hana muda atascore tu (namcheki anavyokomaa). Ukikomaa unatoboa mzee,this is my personal experience na experience kupitia wana
 
Wakuu naandika huu uzi inshort nmeridhika sahivi sina hta nyege ya ku apply kazi yotote ile kama kutafuta kazi nmetafuta nimechoka na upper second nzuri tu lakin ndo hvo nmeenda kila kona patupu, nmeenda taasisi zote unazozijua wewe hapa dar patupu, nimefanya kila naloweza fanya nipate hta connection patupu, sisi watoto wa wakulima ambao hatuna ndugu huko maofisin iwe bahat yako tu, nimeshangaa hapa mtaani mtoto wa mtu mkubwa tu hana kazi tunacheza ps wote kitaa.

Sasa sahiv me si apply kazi kama ipo, ipo tu siforce mambo huwez jua mungu ananiepusha na nini, utakuta mtu anatafuta kazi anaandika uzi humu Jf lijitu linatoka wapi lina comment shit eti jiajir how wkt sina pesa, ukisema uende bank unakutana na collaterals mwingine anakwambia uza mchicha, nyanya hivi msom wa chuo auze nyanya gengen kwel?? Au mwingine anakwambia uza karanga wtf??. Afu wa form4 afanye nn??

Nashukuru mungu wazaz wangu ni wazma wote nakula, nakunywa wanajua hali halis sina kaz wananihidumia. Nikiamka asbh nakunywa chai fresh, mchana nakula usik nakula maisha yanatak nn kwangu. Nikichoka naenda seblen kuchek movie sina habar life linaenda nimepoteza pesa nyingi kutafuta kaz bila mafanikio sasa nimeamua kutuliza akili. Kama biashara nilianza ikafa utanambia nn nifanye?.

Wale jobseekers wenzangu tusikate tamaa kama ipo ipo tu usiforce mambo. Wanaokwambia fanya biashr unakuta yy anakaz na mikopo anayo. Trust nobody except your parents and Live your life.
Kila mtu apambane na hali yake, mwisho wa siku kitaeleweka tu, time will tell
 
Mbona mapema sana Boss Mtaani ni kweli hakunogi ila Mda ulokaa haikufanyi wewe kukata tamaa Mkuu pambana ipo siku utafanikiwa we jifanye huelewi mtu akikukatisha tamaa cheka tu kimoyomoyo sema ipo siku ntafanikiwa na ikiwezekana usipende kutangaza tangaza unapoitwa INTERVIEW kwa ndugu au yeyote yule piga kimya kimya mzee hii itakufanya watu wasikuvunje juu ya hussles zako pia jifunze kuishi kama hauna Degree/Diploma itakusaidia kuona ni kawaida tu na kufanya mambo mengine karibu K/Koo kwenye UWINGA.
ushauri mzuri sana huu
 
Mh! Jamaa amenisikitisha sana maana mm nimemaliza 2017, lakini sijaidaka mkononi bado, na siachi kupambana kamwe....
Kaombewe na watumishi, peleka pia vyeti vyako vikaombewe...!
 
Mkuu pole sana mbona unakata tamaa haraka hivyo. Mimi kaka yako nimemaliza 2017 lakini hadi leo nipo najitolea taasisi fulani ya serikali na hatulipwi hata mia. Cha muhimu usikae home tafuta sehemu jitolee bure usidai malipo wakiona juhudi zako unaweza kupata kazi.
Duuh mze baba una moyo kinoma..
 
Mkuu,
Sio makosa yako.
Nadhani Binadamu tulio wengi akili zetu tumeziweka kwenye kuajiriwa tu

Lengo la kupata Elimu ni ili uelimike uwezo kutatua changomoto ndogo ndogo kama hizo.

Kama kazi haipatikani kwa wakati husika, yakupasa utumie Elimu yako kuruka hicho kiunzi.

Sio lazima wote tuajiriwe, wengine tunaweza kujiajiri pia kulingana na ulichojifunza.
 
Wakuu naandika huu uzi inshort nmeridhika sahivi sina hta nyege ya ku apply kazi yotote ile kama kutafuta kazi nmetafuta nimechoka na upper second nzuri tu lakin ndo hvo nmeenda kila kona patupu, nmeenda taasisi zote unazozijua wewe hapa dar patupu, nimefanya kila naloweza fanya nipate hta connection patupu, sisi watoto wa wakulima ambao hatuna ndugu huko maofisin iwe bahat yako tu, nimeshangaa hapa mtaani mtoto wa mtu mkubwa tu hana kazi tunacheza ps wote kitaa.

Sasa sahiv me si apply kazi kama ipo, ipo tu siforce mambo huwez jua mungu ananiepusha na nini, utakuta mtu anatafuta kazi anaandika uzi humu Jf lijitu linatoka wapi lina comment shit eti jiajir how wkt sina pesa, ukisema uende bank unakutana na collaterals mwingine anakwambia uza mchicha, nyanya hivi msom wa chuo auze nyanya gengen kwel?? Au mwingine anakwambia uza karanga wtf??. Afu wa form4 afanye nn??

Nashukuru mungu wazaz wangu ni wazma wote nakula, nakunywa wanajua hali halis sina kaz wananihidumia. Nikiamka asbh nakunywa chai fresh, mchana nakula usik nakula maisha yanatak nn kwangu. Nikichoka naenda seblen kuchek movie sina habar life linaenda nimepoteza pesa nyingi kutafuta kaz bila mafanikio sasa nimeamua kutuliza akili. Kama biashara nilianza ikafa utanambia nn nifanye?.

Wale jobseekers wenzangu tusikate tamaa kama ipo ipo tu usiforce mambo. Wanaokwambia fanya biashr unakuta yy anakaz na mikopo anayo. Trust nobody except your parents and Live your life.
Relax bro ..na degree yangu napika vikokoto na kufunga ice cream napeleka shule ya msingi' maisha yanaenda kigumu ivo ivo. Usikate tamaa muhim kuomba Mungu uku tukiendelea kutuma application sehem mbalimbali. Atatenda kwa wakat wake bado nna imani na Mungu wangu.
 
Upper second kitu gani watu wana First class na wanasota vilevile.

Karibu mtaani bob
 
umeniacha hoi eti msomi wa chuo kikuu hawezi kuuza genge? eti nna wazazi wananilea fresh tu nakula sijui nalala naangalia movie? hao wazazi wako umeongea na Mungu atawaweka mpaka lini? atawapa hizo nguvu za kukuhudumia mpaka lini? eti nilianzisha biashara ikafa kwahiyo ndo basi? Pole sana ndo nyie mwisho wa siku huwa mnaona suluhisho ni kujirusha maghorofani tu au kujinyonga
Nilijua nipo hoi peke yangu!!

Huyu dogo anafurahisha kwa kweli.......hana mawazo kabisa ya kesho yake, AMERIDHIKA NA MAISHA!!

Ety kama wazazi wangu wapo?!!!
Ety degree owner hawezi uza genge?!!
Ety nakula, nikishiba...naangalia movie?!!!

POLE SANA KIJANA.
 
Kwahyo utaka hapo hadi llini nyumbani kwenu embu waambie wazazi wako wakupe mkopo ununue bajaji andesha mwenyewee au ama hapo kitaa kaanze maisha yako kama yako kwa kurndesha bajaji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom