B.G TANTAWI
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 496
- 379
msidharau watoto hata kama si wako wa kuzaa!....mwisho.
mkuu kaswali kangu naomba ukajibu kwa ufasaha, ni kwanini wanawake wengi huwa hawawapendi watoto wa mume kuliko mwanaume akikutana na mwanamke anawatoto huwahudumia na kuwapa mahitaji yao tofauti na wanawake
tofauti yake ni ipi
hadithi yako imenigusa
Sijui na mimi ntatoka?? Niwatie aibu hawa mahasidi!!
Mama WA kambo naye ni mama.
Nalog off
Inategemea na situation, mwanamke akimkuta mume tayari anawatoto akawachukia lazima anamatatizo na roho mbaya. lakini watoto wa kambo ambao wanazaliwa baada ya mume kuoa, tena kwa kumnyanyasa na ku m-cheat mkewe, uyasikie tu yasikukute wanasononesha moyo na kuondoa amani katika familia nyingi. Ndio mtoto hana kosa lakini upatikanaji wake lazima ulimuathiri mke na watoto, ndo maana inakuwa ngumu mwanamke kukubali mtoto wa kambo wa aina hiyo. Na wanaume wengine alizaa kabla anaficha siku yakimzidi ndo utasiki unajua niliwahi kuzaa, inakera na kuondoa amani maana hapo mke anakaa akiwaza amedanganywa mangapi. Lakini pia wapo wanaume wengi tu wasiopenda watoto wa wake zao waliozaa kwingine, ndo maana mara nyingi mwanamke aliyezaa akiolewa anaacha mtoto kwao.na wengine wanasimanga sana watoto wa wake zao wengine wanawafanyia mambo ya ajabu mpaka kuwabaka. Mtoto wakambo aje kwa sababu maalumu, mfano mke/mume kafa, lakini kizazi hiki kijana anaoa tayari mtaani anawatoto 2 tena mama tofauti, bado akioa nje vidumu kibao. hao watoto watapendekaje?mkuu kaswali kangu naomba ukajibu kwa ufasaha, ni kwanini wanawake wengi huwa hawawapendi watoto wa mume kuliko mwanaume akikutana na mwanamke anawatoto huwahudumia na kuwapa mahitaji yao tofauti na wanawake
tofauti yake ni ipi
Inategemea na situation, mwanamke akimkuta mume tayari anawatoto akawachukia lazima anamatatizo na roho mbaya. lakini watoto wa kambo ambao wanazaliwa baada ya mume kuoa, tena kwa kumnyanyasa na ku m-cheat mkewe, uyasikie tu yasikukute wanasononesha moyo na kuondoa amani katika familia nyingi. Ndio mtoto hana kosa lakini upatikanaji wake lazima ulimuathiri mke na watoto, ndo maana inakuwa ngumu mwanamke kukubali mtoto wa kambo wa aina hiyo. Na wanaume wengine alizaa kabla anaficha siku yakimzidi ndo utasiki unajua niliwahi kuzaa, inakera na kuondoa amani maana hapo mke anakaa akiwaza amedanganywa mangapi. Lakini pia wapo wanaume wengi tu wasiopenda watoto wa wake zao waliozaa kwingine, ndo maana mara nyingi mwanamke aliyezaa akiolewa anaacha mtoto kwao.na wengine wanasimanga sana watoto wa wake zao wengine wanawafanyia mambo ya ajabu mpaka kuwabaka. Mtoto wakambo aje kwa sababu maalumu, mfano mke/mume kafa, lakini kizazi hiki kijana anaoa tayari mtaani anawatoto 2 tena mama tofauti, bado akioa nje vidumu kibao. hao watoto watapendekaje?
nashukuru sio kila mama wa kambo yuko ovyo huo ni uongo.Safi sana....
Inategemea tu kila mtu na roho yake....