Sitamani tena kuoa

Ukishaanza kufungwa nepi ukubwani uje utupe mrejesho

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa maneno ya hivi ndo kumsaidia au kumdhiaki mtu ameshakiri mwenyewe kwa maneno yake kwamba amekua addicted na hayo mambo na hana namna ya kujinasua

Cha muhimu ni kumshauri hata kama hatoacha kabisa bas apunguze mwishowe kuacha kabisa Mara nying chronic behavior za namna hii huwa sio rahisi kuziacha kwa maramoja

Mtafute mwanasaikolojia akusaidie kuyaelewa vizuri matatizo yako na akuundie mipango endelevu ya kuacha kabisa tabia wale jamaa Mimi huwa nawatumia sana huwa wakianza kukupa ushauri unabaki na hatia ndani ya nafsi yako inayokusukuma kutokufanya jambo lile kwa Mara nyingine

Au karibu kwenye darasa linaloendelea hivi sasa humu humu jf la chakula cha ubongo la mwalimu haber Faraday Nina imani utajifunza kitu kule juu ya maisha na mifumo take

Karibu sana

Muhenga kijana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu kama ninyi safi sana, msingekuwepo dada poas wangekuwa wanakufa njaa endelea tu, endelea tu haina namna.
 
we acha tu....kama vile unavyoamua kuacha mambo mengine usiyopenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…