DEFAMATION
Senior Member
- Jun 19, 2017
- 110
- 69
Hello ladies and gentlemen,
Natumai mko poa sana humu ndani. Bila kupoteza muda ni kwamba utamu wa madada poa umesababisha sitamani tena hata kuoa wala kuwa na mpenzi katika maisha yangu yote.
Nikiwa chuoni mwaka wa tatu tulitengana na msichana ambae nilimpenda sana. Hivyo tangu hapo nikawa nakunywa pombe kwa sana na kulala na madada poa kumi kwa siku moja. Lengo langu lilikuwa ni kupooza na kutuliza nafsi yangu iliyokuwa imejawa na maumivu makali yasiyopimika.
Nilipenda sana kunywa pombe na madada poa kwa sababu niliona ndiyo suluhisho wa tatizo lililonikumba kwa wakati ule ingawa nilipewa ushauri mwingi sana lakini nilisikiliza moyo wangu unasemaje.
Hii hali ilipelekea performance yangu ya masomo ikawa mbaya sana japo nilipambana hivyo hivyo ili nisidisco katika masomo yangu.
Sababu kubwa iliyonishawishi ni kwamba niliamini kwa asilimia mia moja kuwa pombe ni mwanamke mwaminifu sana kamwe hajui kusaliti mtu. Kwa upande wa madada poa nao ilikuwa hivyo hivyo. Kila kona ya mji wa Dar es Salaam ambapo hiyo huduma hutolewa wananviumbe nana isipokuwa tu huko Temeke maana huduma zao siyo nzuri yani hawana viwango.
Ndugu zangu wana MMU natamani sana niache hii tabia ila nashindwa maana naona kisaikolojia limekuwa ni tatizo kubwa sana kwangu. Kila muda nahitaji hata kama nipo kazini nikikumbuka tu lazima nikapate dawa kidogo ndiyo mwili ukae sawa. Nimekuwa addicted sana na hawa viumbe.
Marafiki zangu wakubwa wamekuwa hao wadada ikipita siku mbili sijaenda kuwapa dawa inakuwa ni kero tupu maana muda wote meseji hazikatiki wakiniuliza niko wapi mbona nimewachunia.
Pia imefikia mpaka kuniamini hata kama siko vizuri( sina pesa) huwa wananikopesha mwisho wa mwezi nawalipa/ nawarejeshea hela yao kulingana na makubaliano yetu.
Nifanyeje ili niachane na hii tabia ndugu zangu?
Karibuni kwa ushauri wenu!