Sitakwenda tena Kanisani

Sitakwenda tena Kanisani

PELEKA MIFUKO ULOAHIDI MKUU😂😂😂
Wakorintho wa pili sura ya 9:6 na kuendelea….
Unapaswa kutoa kwa moyo wa hiari na kupenda. Alichofanya huyo mchungaji ni kutengeneza mazingira ya kulazimisha mtu kutoa mchango pasipo hiari yake. Wachungaji huwa wanakosea sana!
 
Sina utaratibu wa kusimama kanisani kujitambulisha nikiwa mgeni.

Kuna kipindi nilishaenda kusali kanisa flani huko Kijiji,kanisa zima watu wanajuana wote.

Ikafika muda wa mgeni kujitambulisha,aisee nilijikalia kimya benchi zima wananiangalia na nilikua nimekaa benchi za mbele mbele,baba mchungaji naye amenitolea macho kwa ile style ya si usimame mgeni ujitambulishe aisee kimyaaa mpk mwisho sikusimama.

Sipendi unnecessary attention.
 
Acha vitisho utakuwa mchungaji wewe, mmezoea kuwakamua kondoo hata kabla ya kuwalisha.... huyo kaingia tu kapigwa za uso kisa muonekano wa ‘afisa benki’ wakati ndo kwanza katoka kufeli ‘fomu foo’.
Kweli weye ni bingwa, mpaka unaenda kum-beep Mungu?? Kwani angelikaa kimya ni nani angeli mcheka wakati yeye ni mgeni tu pale?? Hivyo unaona ni ubingwa sana kusema uongo?? Pole sana weye ambaye hukamuliwi
 
Umedanganya nafsi yako ndio maana unajutia ,siku nyingine sema ukweli mfano sina cha kuchangia adi wakati mwingine.
Me kanisani waliwai nisimamisha ,nikasema mbele yao leo nimekuja kusali sikujiandaa na mchango na siwezi weka ahadi yoyote.
Big up
 
Mkuu unentoa mbavu leo! jf
Ni sehemu ya starehe sie wenye stress na maisha na mapenzi
 
Back
Top Bottom