Sitakwenda tena Kanisani

Sitakwenda tena Kanisani

Pole sana ndg. Nenda katoe hiyo ahadi yako haraka hata kabla hawajamaliza ujenzi huo. Jua kwamba; Mungu wetu hadhihakiwi. Ungeliwaambia; Hapa sina kitu zaidi ya mia 5 mfukoni lakini Kama Mungu atanifanikisha katika mishe zangu hikiwa hapa kwenu naahidi kuleta kamchango kangu mapema sana. Ni nani angekuuliza??
Umeahidi, timiza ahadi yako haraka kwani Mungu hadhihakiwi. Ahadi iliyowekwa kwa Mungu ni nadhiri. Usikawie kuitangua.
 
Acha vitisho utakuwa mchungaji wewe, mmezoea kuwakamua kondoo hata kabla ya kuwalisha.... huyo kaingia tu kapigwa za uso kisa muonekano wa ‘afisa benki’ wakati ndo kwanza katoka kufeli ‘fomu foo’.
 
Ulitakiwa kusema maneno muhimu ya mwisho kuwa Mwenyezi Mungu akikjaalia utaiwakilisha hiyo mifuko ya cement so na kama usipojaaliwa ndio maisha yaendelee tu kanisa litajengwa na waliojaaliwa...
 
Si sawa kabisa kama mtu amekuja msibani au tatizo lingine utasemaje atoe ahadi? Viongozi wa dini sikuhizi wengi hawana reasoning
 
By Aswile Mwanyasi
0754426142
emoji1241.png
Unahitaji uchangiwe pesa ya kutimiza ahadi?
 
Hahahaha ha!!! mkuu umezingua unaahidi uwongo kanisani mimi binafsi nimepunguza kwenda church for the same reason
 
Waislam tutembee vifua mbele
Kiukweli watu wengi wanakwepa kwenda makanisani kusali these days wakihofia michango mbalimbali hasa ya ujenzi. Kwa wengi ni aibu na fedheha kushindwa kuahidi kitu mbele ya watu na kutoa ahadi isiyotekelezeka ni dhambi pia. Kuna baadhi ya makanisa ukitia tu mguu huku umevaa "suti", unachomekwa kwenye kamati ya ujenzi siku hiyohiyo
 
Kusema kweli sijawahi kujitamburisha kanisani baada ya kituko kinachofanana na hicho miaka ya 90
 
Sasa si ungesema mimi nitatoa jumapili ijayo?
 
Hatulazimishi kutoa, tunahamasisha
Huko kuhamasishana ni style mpya ya kulazimishana. Hata mtoa mada hakulazimishwa bali alihamasishwa kutoa ahadi ya ujenzi. Kwa makanisa "yanayodai na kudai na kudai" michango tena kwa kutishiwa kutokupata huduma za Kanisa huwezi kuwatoa RC ukiwa mwaminifu kwa nafsi yako.
 
Pole sana ndg. Nenda katoe hiyo ahadi yako haraka hata kabla hawajamaliza ujenzi huo. Jua kwamba; Mungu wetu hadhihakiwi. Ungeliwaambia; Hapa sina kitu zaidi ya mia 5 mfukoni lakini Kama Mungu atanifanikisha katika mishe zangu hikiwa hapa kwenu naahidi kuleta kamchango kangu mapema sana. Ni nani angekuuliza??
Umeahidi, timiza ahadi yako haraka kwani Mungu hadhihakiwi. Ahadi iliyowekwa kwa Mungu ni nadhiri. Usikawie kuitangua.
Sawa, MUNGU hadhihakiwi lakin soma mazingira yaliyomkuta ndugu, ni kama mabibo Yona mpaka akamtosa safari yake
 
Nkapata Ujasiri Wa Kudanganya Tu Ili Niepukane na Fedhea Ile
Kwanza kabisa nikusahihishe ndugu yangu; Unachosema UJASIRI, Huo sio ujasiri huo ni UOGA.
Hii ndio Tatizo la watu wengi sana; Sio tu huko kanisani hata kwenye jamii; Watu wengi wanajaribu Kujivika uhusika ambao hawana;
Ungesema Ukweli ungepungukiwa nn?
Kwenye Michango ya harusi, Makazini, kila mahali watu wanajaribu kujivika huo ambao unauita ujasiri;
The same thing huwa inatokea hata wakati wa kuanzisha mahusiano, Unakuta mtu anajivika status ambayo sio yake, ili tu mdada apatikane, sasa changamoto inakuja kwenye maintenance ya hiyo status hapo ndio mdada anaweza kutafuta Mtu wa kumpa hizo hela etc, wakati ungesema mapema tu basi Mdada angekutaa mapema au Angekubali na hali uliyonayo

Binafsi sijaona tatizo kwa huyo mchungaji; Wao wametoa Request na wewe ulitakiwa kutoa Response ya kwako kulingana na uhalisia sio kulingana na shinikizo la nje.

Wakati mwingine unapokuwa mahali popote, Msukumo wako kufanya maamuzi yoyote hakikisha Moyo wako unakuwa Huru; Usilazimishe kama ulivyofanya.
 
Pole sana...

Ungesema tu wewe mchango wako ni maombi, kuliombea kanisa lizidi kufanikiwa...

Cc: mahondaw
 
Nenda ukasali Kanisani kwa sababu ya Mungu aliyekuuumba na sio kwa sababu ya watu wamekukwaza, nadhani kama tungekuwa tunaenda kusali kwa sababu ya mtu hata mimi nisingeenda na watu wengi tu wamekwazwa, nao pia wasinge eenda, ninaenda kusali kanisani kwa sababu ya Mungu tu, na kumwabudu yeye peke yake

Hamna binadamu aliyekamilika kumbe ukimtafakari Mwanadamu huwezi kummaliza,Muangalie aliyekuumba na kumtakari yeye tu hapo utafanikiwa kiroho na kimwili
Zingatia hayo, na sio kila kanisa ni kanisa la kweli Muombe Mungu utambue kanisa la kweli
 
Back
Top Bottom