Sitakwenda tena Kanisani

Ilo kanisa halina Hekima wala busara maana wanawadhalilidha watu hasa wageni hawawezi kumfanyia mtu namna hiyo mbele za watu
 
Watoaji sadaka Sana makanisani Ni wachaga. Wanyakyusa akina Aswile SI watoaji Ni ukweli wa wazi unaojulikana
 
Kiukweli watu wengi wanakwepa kwenda makanisani kusali these days wakihofia michango mbalimbali hasa ya ujenzi. Kwa wengi ni aibu na fedheha kushindwa kuahidi kitu mbele ya watu na kutoa ahadi isiyotekelezeka ni dhambi pia. Kuna baadhi ya makanisa ukitia tu mguu huku umevaa "suti", unachomekwa kwenye kamati ya ujenzi siku hiyohiyo
 
Pole sana,shida kubwa ya hawa wachungaji ni approach wanazotumia sio nzuri kabisa,ni kweli kunahitajika michango, sasa kwanini hekima isitumike!hii inaweza mfanya mtu aogope kwenda kanisani kisa michango.Unafika kwenye kanisa unajitambulisha,wakati wa kutoka unadakwa unaulizwa jina,namba ya simu,unakofanyia kazi,unakoishi n.k.wanajaza form fasta,unaingizwa kwenye kundi la uchangiaji la mtaa,ukifika tu nyumbani unapigiwa simu kuulizia utatoa ngapi,kwakweli hali ya makanisa mengi kwa sasa haifurahishi kabisa....
 
Peleka mifuko ya kanisa tena ujue hiyo ni nadhiri yako na mwenyezi hivyo uitimize hakuna namna
 
Sionagi dini bora zaidi ya RC, mambo gani eti kutambulisha wageni? Au kwakuwa mkogo wachache ndio maana mnapata muda wa kutabulishana? Mambo ya ajabu kwetu hayo hayapo,hata kama tuna michango mingi ila hatulazimishi mtu kutoa chochote. Ni wewe na moyo wako.

Watu wenyewe tunajaaga hadi nje umtambulishe nani uache nani?

Pole mleta mada. Wewe tafuta mchango wa uwezo wako uende kanisani kabla hujatoa hiyo sadaka, mwambie Mungu kuwa hicho ndicho ulichokipata.naomba upokee kama ulivyo pokea sadaka ya Abel. Ova.
 
Hiyo ni RC ipi unayoizungumzia? Hii hii ambayo kama michango yako ya ujenzi haijapokelewa kwenye Jumuiya haupati huduma za kanisa?
 

Unapo amua jambo unafanya kutoka na mazingira yako, makuzi yako na elimu yako. Sasa unopolazimisha maamuzi yako binafsi kama way of life ni kutokujitambua.
 
Daaa, hizi nafasi guwa zinawakuta wengine aseee, yaani ukitamani ikukute hata siku moja haiji mmmh..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…