Watu bana Eti tafuta pesa, wapo wenye pesa na bado wanaumizwa na mapenzi, kuwa na pesa na kulala na wanawake wengi, hakuwezi kumaliza ule upendo wa dhati uliokua nao kwa mtu fulani. Hamna kitu kinawaumiza hao wenye pesa wanapompenda mtu kweli na unakuta huyo mtu yupo pale kwa ajili ya pesa tu na hana mpango nae kabisa, yani anakuja kuvuna na kutumia na watu wengine anaowapenda yeye. Saa nyingine mapenzi sio pesa japokuwa pesa inanguvu kubwa.