Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,414
Nimemuona. Tena mzima tu wa afya. Yule mjinga Kigogo sijui atawaambia nini wafuasi wake manyumbu wale 🙏🏿Uhai ni hazina iliyofichwa mikononi mwa Mungu,
Tukimtegemea, hayupo wa kufupisha siku zetu. Majaribio yote yatashindwa.
Amen
Mungu ni mwema na Utukufu wote una Yeye 🙏🏿🙏🏿🙏🏿