Chikwangara
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 685
- 942
hujaona heading alikuwa na tuwiki tuwili tu tangarahaPole mkuu
Siku nyingine kuwa makini, si kila wazungu wanapokuja wewe unawaruhusu tu
Kuwa mchumi braza kwenye kuruhusu wazungu
Pole,krb sn TangaNipo zangu mkoani Tanga hapa kikazi, na ni wiki ya pili. Katika kuzunguka zunguka nikakutana na mtoto mashallah, mtoto jojo, mtoto chura, mtoto ina mpaka machoni.
Tukaanza mazoea kidogo kidogo, mpaka tuka exchange mawasiliano. basi nikampanga tukutane somewhere. Siku ya siku akasema anakuja basi nikalipia chumba lodge moja hivi karibu na stendi ya basi za mkoani.
Nikampokea, moja kwa moja mpaka room, kufika tu tukaanza mambo mambo, mtoto akalegea, kazi ikaanza ya to and flo motion, mtoto kiuno kama feni na sauti tamu. Raundi ya kwanza ikaisha mtoto bado anahitaji, nikajikaza raundi ya pili mtoto bado, raundi ya tatu mtoto bado anahitaji. Ikabidi nimtoroke kwa kisingizio cha kufata helmet nyingine, na kuanzia hapo sikumtafuta tena, mapenzi siyo vita wadada. Muwe mnatuonea huruma basi, twatumia damu.
😂😂😂😂😂😂😂Hehehe kuna siku siku niliulizwa mbona umechukua pakt moja?
Hahahaaaa itakua ulijiuliza umekutana na jini kisimati su MTU wa kawaida!Nipo zangu mkoani Tanga hapa kikazi, na ni wiki ya pili. Katika kuzunguka zunguka nikakutana na mtoto mashallah, mtoto jojo, mtoto chura, mtoto ina mpaka machoni.
Tukaanza mazoea kidogo kidogo, mpaka tuka exchange mawasiliano. basi nikampanga tukutane somewhere. Siku ya siku akasema anakuja basi nikalipia chumba lodge moja hivi karibu na stendi ya basi za mkoani.
Nikampokea, moja kwa moja mpaka room, kufika tu tukaanza mambo mambo, mtoto akalegea, kazi ikaanza ya to and flo motion, mtoto kiuno kama feni na sauti tamu. Raundi ya kwanza ikaisha mtoto bado anahitaji, nikajikaza raundi ya pili mtoto bado, raundi ya tatu mtoto bado anahitaji. Ikabidi nimtoroke kwa kisingizio cha kufata helmet nyingine, na kuanzia hapo sikumtafuta tena, mapenzi siyo vita wadada. Muwe mnatuonea huruma basi, twatumia damu.
Halafu umbo lake na hayo maneno yake hata hayafanani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]