BlackBerry
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 1,839
- 959
Ndio maana wadada kama sie tunaojua kukamatia huwa tunawalipizia wote wanaoonewa kama huyu wa jamaa. nahakikisha lazima unarudi kunitafuta utake usitake, tena vichwa ngumu mie ndio nawapenda sana hawaPamoja na kwamba issue yenyewe inawakera sana akina mama, lakini hili suala huwatokea sana wanaume. Kwa uzoefu wangu wa kuanzia enzi zile tunajifunza kujenga vijumba vya makuti ...na kujifanya baba na mama....haya mambo ni kawaida sana kutokea. Labda vijana wa dot com kama hawajawahi kusikia!! Ila huo ni ukweli na utabaki kuwa ukweli....
Ushauri wangu ni kwamba Apolinary...kaa mbali sana na huyo binti...ili upate nafasi ya kuona kama hisia kwake zinaweza kurudi. Kama hazitarudi basi usilazimishe kwa sababu utakuja kumuumiza sana huyo dada. Labda kwa sasa jitahidi kumuacha taratibu ili upunguze dozi ya maumivu.
Ukweli wa hili ni kwamba wanaume tunaongozwa na tamaa na ni mara chache sana kumpenda mwanamke...Ila tukipenda basi tena...tunakuwa zaidi ya wehu!
Ndio maana wadada kama sie tunaojua kukamatia huwa tunawalipizia wote wanaoonewa kama huyu wa jamaa. nahakikisha lazima unarudi kunitafuta utake usitake, tena vichwa ngumu mie ndio nawapenda sana hawa
Mi nadhani chakufanya ni kukubaliana na matokeo....Ndo maana nawaomba wadogo zangu, dada zangu na hata mama zangu waulewe na kuukubali ukweli ukweli hii...Wanaume wengi sana hupata taabu na hukosa majibu baada ya kuonja...Hawawezi kuamini kama walichokutana nacho kinalingana na investments walizozifanya wakati mwingine kwa muda mrefu.....
Sina hakika tunatokaje hapo..ila huo ndio ukweli mtakatifu (from men's perspectives)!!!

<br / kabla au baada??
<br / br/ndiyo nilishawahi kuwa na mwingine
Ndio maana wadada kama sie tunaojua kukamatia huwa tunawalipizia wote wanaoonewa kama huyu wa jamaa. nahakikisha lazima unarudi kunitafuta utake usitake, tena vichwa ngumu mie ndio nawapenda sana hawa

Hello jf nilikuwa na glfriend toka january had hiv sasa lakini nilipolala naye ama 2lipo sex naye sina hamu tena ya kumuona hata sim yake siipokei tena sijui ni nini tatizo naomba wanasaikojia mnishauri kuhusu
Mi nadhani chakufanya ni kukubaliana na matokeo....
Tatizo letu wanaume wakati mwingine kumueleza mapungufu mwanamke ili arekebishe au mulekebishe inakuwa shida
kwanza tunafikiria reaction
na tunadhani itakuwa ni humiliation
Then unaamua kusepa/timka, kumbe ni kitu kingeweza kuzungumzika na kuwekwa sawa
Then ukaenjoy kama ulivyokuwa unafikiri kabla ya kula hilo tunda..
dat z hw u r most of nyie wanaume,.. mkipata 2 mwakimbia. not gud at ol,,, true luv z 4m the heart n not afta somethng n leave.
Huwezi kunielewa, na wengi hawanielewi, soma tu kwa makini utaelewa namaanisha niniBB haya maneno yako kwa kweli yanatisha ... ni kama nataka kukuelewa au sikuelewi kivile... unamaanisha nini wa kwetu?

Ulichokuwa unakitafuta umeshakipata hakuna jipya hapo, mengine unayajua mwenyewe.
...hauna lolote fataki mkubwa,ulichokuwa ukitafuta ni bikla, umeikosa roho imetumbukia nyongo!
Wakuu huyu jamaa kuna 'issue' hapa anajaribu kuileta kwetu. Binafsi nilishaisikia jambo kama hili kwa mwanaume wmingine na mwanzoni sikumuelewa ila baada ya kuongea naye sana nilikuja kujua nini hasa kilichojiri hata akapoteza stimu kwa gf wake. Baada ya kuongea naye sana niligundua kuwa kulikuwa na mambo makuu mawili.
.........mosi ni kwamba pamoja na msichana kuwa na umbo zuri na mwonekano wa nje mzuri, bado alikuwa natatizo moja kubwa ambalo jamaa alipokutana nalo alipoteza kabisa hamu ya kuendelea kuwa naye, .......nalo ni kwamba 'maumbile' ya msichana hayakuwa mazuri. Ni kama vile 'mashine' ya yule mdada ilikuwa 'overused' kiasi kwamba ilikuwa kubwa sana kiasi kwamba kuna wakati jamaa haukuweza kujua kama 'viungo' vyao vya uzazi vilikuwa vimekutanishwa ktk tendo la ngono.
.........pili maungo ya uzazi ya msichana yalikuwa yana hali ya majimaji kupita kiasi. Jamaa alidai mara baada ya kufikia kilele cha kamchezo, kitanda kilikuwa kama vile kimelowa mkojo. Ilibidi afanye usafi baada ya 'mgeni' kuondoka.
.........tatu, msichana alikuwa na harufu kali ingawa kwa hili nilimwambia kuwa linaweza kuondoka kwa kutumia dawa.
Sasa ukiangalia maeneo haya matatu, hasa hayo mawili ya mwanzo ni wazi kuwa jamaa hakutegemea kama angekuta hiyo hali hivyo akawa 'steamed off'. Kwa sisi wanaume huwa tuna mategemeo yetu kwa ladies, na mara tunapoyakuta huwa tunawaganda sana wadada kwa kuwa ndio maeneo ambayo kwayo tunapata faraja ktk mahusiano.
USHAURI
Jamani kina dada, jitahidini sana kujitunza hasa hayo 'maeneo' yenu ni muhimu sana. Unaweza ukawa mzuri sana kwa nje lakini eleweni kuwa 'quality' yenu kubwa ni 'the weapon' you have regardless of your phenotype. Kuna mada jana iliwekwa juu ya kumfanya mwanaume avutiwe nawe muda wote. Wengi mlichangia na kukubaliana na ile thread. lakini nawaambia hata umvutie vipi men wako, kama 'mashine' yako ni hovyohovyo ujue utaachwa tu, if not married, au utakuwa na mwenzio, kama mashine yako ni oversize au exceedingly watery.
.................nilikuwa napita tu wakuu!

Hello jf nilikuwa na glfriend toka january had hiv sasa lakini nilipolala naye ama 2lipo sex naye sina hamu tena ya kumuona hata sim yake siipokei tena sijui ni nini tatizo naomba wanasaikojia mnishauri kuhusu
DC! Nimerudi nazo, ila watu wamezifakamia siku ya bd yangu. but pakaccha halijatupwa badoMkuu Elia,
Karibu tena (tunasubiri zawadi kutoka kwa first lady wa uhakika)!!!
Hilo suala siyo rahisi kiasi hicho, kwamba unaweza kuanza kumueleza mtu mapungufu yake...na endapo mmekutana mara ya kwanza (hii ni kwa wote He and She). Ila ninaloongelea mimi halihusiani na kumkimbia mwanamke kwa sababu ya matatizo yoyote katika suala la mapenzi.
Naongelea nature ya mwanamume kuhisi kapata hasara sana au kahangaika sana kutafuta kitu ambacho labda siyo cha thamani ki vile baada ya kupata dozi ya kwanza...Ni tatizo ambalo huwakuta wanaume wengi sana.
Ndo maana wanaume wengi wakimaliza tu...wanakumbuka mambo yao (ya maana) ambayo waliyaweka pembeni kabla ya kuanza mambo hayo ya ngono...Hili husababisha kutoeleweka kwa wanawake ....mfano baada tu ya kumaliza tendo la ndoa...yaani ndani ya dakika moja tu,...jamaa anaanza kuaga na kueleza list ya vitu ambavyo alipanga kuvifanya siku hiyo..Au umuhimu wa kuwahi kwa mke wake!!