Sitaki tena kupaa angani

Hebu tufundishe kupaa kwanza kabla ya kuacha....ila inawezekana nikaenda kufunga mzigo China na kurudi nao kwa njia hii?
 
Hebu tufundishe kupaa kwanza kabla ya kuacha....ila inawezekana nikaenda kufunga mzigo China na kurudi nao kwa njia hii?

Nimecheka sana aisee.
 
Katikati ya hii sredi naona kuna wanga wanapeana hamasa na kufurahia kujua wanayoyafanya yana wafuasi pia...

Mshindwe kabisa walozi nyie....

hahahaa ndugu unaogopa African Science????
 
Kwa maana hiyo "mkuu rakims." Kwenye ule uzi wake alitaka kututoa kafara.?!

unafahamu usemalo!? na unajua kutokautisha chuma na jiwe!?
pole we usilolijua

"Rakims"
 
Mwenzangu mimi kuanzia leo namuogopa mshana jr nikiuona Uzi wake natimua mbio vibaya mno maana anaweza akapaa akaja nifanyia mambo ya ajabu.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Jamani everlenk usinikimbie utaacha nijipige ban ukifanya hivyo
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Nawapenda sana jus can't afford to loose you wonderful friends, sitajifunza tena kupaa labda itokee tuu tena kisirisiri everlenk na Honey Faith

Kweli???? Promise us......!! Loh!! Nimekuogopa ujue hasa ulivyosema kuna siku mlikaa ubungo,duh! Kuna siku nilikuwa pale nilikuwa hata sijelewi kabisaaa, inawezekana mlinipitia nini??? Lol
 
Last edited by a moderator:
Kweli???? Promise us......!! Loh!! Nimekuogopa ujue hasa ulivyosema kuna siku mlikaa ubungo,duh! Kuna siku nilikuwa pale nilikuwa hata sijelewi kabisaaa, inawezekana mlinipitia nini??? Lol

Hahahahaaaa sio mimi kabisa n I promise hata kama nikijifunza hamtajua
 
Kuna mtu angekuwa nayo hii ningekoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…