monopoly inc
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 5,245
- 11,428
Tuwekee hapa huo ushahidi jf ni taasisi kubwaUshahidi wooote toka mwanzo wa zoezi ninao.. Nakosa tu mahali sahihi pa kuupeleka.. Majina 3 ambayo hayakuwepo usailini yamechomekwa pale ndani..
sio mapya mkuu, mara nyingi huwa wanaweka pia watu ambao wapo kwenye database ambao walifanya usaili wa kazi kama yako uloomba na hawakupata nafasi hapo nyuma kutokana na ushindani kuwa mkubwa...mfano kipindi cha nyuma alipata 60% mkaja nyie mkafanya usaili wa kazi mkapata 59% wataanza kumconsider huyo wa 60 kwanza.
Nakubaliana nawe mkuu. Hata matangazo ya kuitwa kazini huwa wanatoa angalizo kuwa,walioitwa wapo waliokuwepo kwenye database yao. Ingawa hii ina changamoto,yaweza tumika vibaya,ndio maana kuliwah kuwa na ushauri..kuwa hata majina yaliyopo kwenye database yawekwe wazisio mapya mkuu, mara nyingi huwa wanaweka pia watu ambao wapo kwenye database ambao walifanya usaili wa kazi kama yako uloomba na hawakupata nafasi hapo nyuma kutokana na ushindani kuwa mkubwa...mfano kipindi cha nyuma alipata 60% mkaja nyie mkafanya usaili wa kazi mkapata 59% wataanza kumconsider huyo wa 60 kwanza.
Nani kwamba bandari saivi wamefanya maajabu, hamna alobebwa mpaka watu wanashangaa, mi mwenyewe nliitwa na bandarini simjui mtu na so mimi tu, wengine walikua 48, kaitwa mmoja hajui mtu.
Yaani ata mkurugenzi anadai hawezi ingiza mtu yeyote ata kama ni mtoto wa rais anadai yko tiari ateme kazi, ila saivi kulkua hamna kubebana yaani kukaza kwako tu, watu tumeitwa wengi na wengine wamo umu nawajua, tumejuana tangu kazi zimetangazwa.
Acha kupotosha mzee, kila tu ilkua fair, wapo jamaa zangu hawajaitwa, kuna kada walikua wanajumlisha alama na za usaili wengine walkua hawajumlish kama mlofanya written walikua hawajumlishi sa kama ulifel bas ulifel utumishi, ila saiv wamefanya maajabu, mpaka wenyewe wanasema
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ukipata kuna mtu anakosa, na ukikosa kuna mtu kapata, ila ukweli ndo niliosemaWewe mtu anakwmbia ushahidi anao wewe unasema sio kweli, kwanini unamkatisha mtu tamaa nawakati ushahidi anao?
We jamaa leta vitu....!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ukipata kuna mtu anakosa, na ukikosa kuna mtu kapata, ila ukweli ndo niliosemaWewe mtu anakwmbia ushahidi anao wewe unasema sio kweli, kwanini unamkatisha mtu tamaa nawakati ushahidi anao?
We jamaa leta vitu....!
Nimecheka sana mkuu
Ni kweli mkuu kuna jamaa yangu amepata nae kazi na alikuwa hafahamiani na yeyote. TPA hakuna upendeleo wala nini tatizo vijana wenyewe VILAZA na wanafeli interview.Wewe mtu anakwmbia ushahidi anao wewe unasema sio kweli, kwanini unamkatisha mtu tamaa nawakati ushahidi anao?
We jamaa leta vitu....!
wapo wengi man, m mwenyewe ila jamaa anapotosha kinomaNi kweli mkuu kuna jamaa yangu amepata nae kazi na alikuwa hafahamiani na yeyote. TPA hakuna upendeleo wala nini tatizo vijana wenyewe VILAZA na wanafeli interview.
Sekretarieti hao hao ndio wanofanya hiyo michezo! Ni wala rushwa hakuna mfano! Mimi mwenyewe yupo jamaa yangu aliambiwa aandae milion 2 apate kazi kwenye post za almashauri.Sijajua bado kazi ya Sekretarieti.. Mchakato mwanzoni unanoga Sana unaona mambo rahisi mwishoni madudu yake unaweza kulia.. Nadhani wangeachana na utaratibu wa kuita watu usailini
cheti FEKI wewe!!Sitaki tena ajira za serikali.. Walichokifanya Mamlaka ya Bandari sina hamu kabisa
Ushahidi kupatikana siyo kazi... Maana utumishi kila ukivuka stage majina huwa wanayarelease kila mtu ana uwezo wa kuyaona.Ushahidi unao?
Kama mnawatu tayari wako kwenye database, Kwanini msiwaingize moja kwa moja kweny ajira kuliko kuanza kusumbu watu wengine kufanya interview halafu kazi wapate wengine? Hili halijakaa sawa aiseeesio mapya mkuu, mara nyingi huwa wanaweka pia watu ambao wapo kwenye database ambao walifanya usaili wa kazi kama yako uloomba na hawakupata nafasi hapo nyuma kutokana na ushindani kuwa mkubwa...mfano kipindi cha nyuma alipata 60% mkaja nyie mkafanya usaili wa kazi mkapata 59% wataanza kumconsider huyo wa 60 kwanza.
Database (kanzidata) ya utumishi ndio tobo pekee lililobaki kwa watu wenye nyadhifa zao kuingiza watu serikalini... waweke uwazi hapo kwenye kanzi data (kwanini wanaficha) na waseme mtu ameingia kwa oral ipi… hapo ndio unaweza mwaga machoziNi kweli mkuu kuna jamaa yangu amepata nae kazi na alikuwa hafahamiani na yeyote. TPA hakuna upendeleo wala nini tatizo vijana wenyewe VILAZA na wanafeli interview.
Kama mnawatu tayari wako kwenye database, Kwanini msiwaingize moja kwa moja kweny ajira kuliko kuanza kusumbu watu wengine kufanya interview halafu kazi wapate wengine? Hili halijakaa sawa aiseee
Database (kanzidata) ya utumishi ndio tobo pekee lililobaki kwa watu wenye nyadhifa zao kuingiza watu serikalini... waweke uwazi hapo kwenye kanzi data (kwanini wanaficha) na waseme mtu ameingia kwa oral ipi… hapo ndio unaweza mwaga machozi
umeelewa lkn nilichoandika?TPA hamna alopendelewa
Hiyo ndio bandari bwana mkono mtupu haulambwiDah acha tu mkuu... Urasimu kuisha serikalini bado Sana... Mtu haitwi kwenye usaili na wala hafanyi usaili lakini jina linakuwepo kwenye shortlist ya kuitwa kazini