Sitaki ndoa ya kidini

Sitaki ndoa ya kidini

storyteller

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2014
Posts
1,544
Reaction score
1,873
Habari zenu

Nina mchumba wangu, tumekua na mahusiano muda mrefu sana, sasa imefikia muda nimeona bora nimsogeze niishi nae kabisa, sasa tatizo mimi ni mpagani(sina dini) na huyu mwenzangu kwao wamesema wanataka ndoa ya kidini, yeye yuko tayari tuishi nae ninavyotaka mimi, ila ndugu zake ndio mbogo, hawataki kusikia suala la bomani.

Tafadhali, nashindwa nifanyaje, coz mwanzoni nimewaza niuze kila kitu na biashara zangu nifunge, nitoroke nae mikoani, ila naona hataki hicho kitu. Naombeni mbinu tafadhali.
 
Waulize vyeti vya ndoa huwa vinatoka wapi? Wakikujibu ndio litakalokuwa jibu lako..
 
Mfuko wako upoje???????
Kama mfuko mtupu wanataka ughairi umwache mtoto wao.
Tafuta pesa then tishia unamwacha bidada uone.
 
Hebu jaribu kuomba msaada wa laki moja kutoka kwa hao wanaojiita ndugu zako. Then kuanzia hapo utajua ndugu yako ni yupi.
 
Hivi wewe, si umeamua kuwa rigid like an iron bar kuamini hakuna Mungu? Ama at least hastahili umtambue?
NI kwanini hamtafutagi wenye misimamo kama nyie ili usipate shida?

Navojua mimi faith ya mtu kwa Mungu comes first kabla ya kingine chochote. Usilazimishe mambo. Make it simple chagua kuendelea kuwa rigid ama mchague huyo. Period.

After all sio kila waendao nyumba za ibada ni waumini wa kweli which describes well your spouse, it wont hurt to bend your back a bit so u can reach your desire.
 
alafu wewe sio mpagani sisi wapagani halisi hatuna cha kukosa kisa imani mtu akitaka niwe muislamu nimuoe nabadili fasta akitaka niwe msabato nabadili fasta akitaka niwe mkristo fasta mimi siwezi shindwa kupata kitu sababu ya dini za kutungwa.
 
Usikate tamaa ni mitihani ya mapenzi hyo mkuu.

Ila kwa nini usiende tu kufunga huko kanisani halafu ukaendelea na yako?
 
alafu wewe sio mpagani sisi wapagani halisi hatuna cha kukosa kisa imani mtu akitaka niwe muislamu nimuoe nabadili fasta akitaka niwe msabato nabadili fasta akitaka niwe mkristo fasta mimi siwezi shindwa kupata kitu sababu ya dini za kutungwa.

Mkuu hizo kwenye bold ni dini mbili tofauti..?
 
Una njaa sana ya pesa unakwepa garama ya harusi. Ila kwakuwa wewe ni storyteller enewei
 
Kama umeshavunja amri ya sita na yy mtie kichevuchevu hapo watashika akili
 
kama umetoa mali nenda kachukue mke wako muweke ndani.
 
Back
Top Bottom