Sitaki kutapatapa

Sitaki kutapatapa

Chele2

Senior Member
Joined
Apr 5, 2013
Posts
102
Reaction score
5
Ndugu zangu,nina msichana ni mpenz wangu na tumewekeana ahadi ya kuja kuoana. baadh ya ndugu zake kama vle mama yake,mdogo wake na dada yake wananifaham na huwa nawasiliana nao japo hatuwaweka waz juu ya uhusiano wetu!
Jaman,tangu mwishon mwa wik iliyopita mapenz yetu yameanza kusuasua hasa kimawasiliano kwan mi nipo mtwara na yeye dodoma! simwelewi,namtumia sms hajibu,wik hii nilipata tatizo kubwa usiku na nkamweleza kwa sms kwan ilikuwa usiku wa manane lakin bado hakuthubutu kunitafuta kesho yake. Mpaka sasa yupo kimya,nimejaribu kuwatafuta rafk zake kuwauliza kama mpenz wangu anatembea na sim au amepoteza wanasema anayo! naomben ushauri nifanye nin kwan nampenda yeye na sipendi kurukaruka kabisa kwan maradhi n mengi
 
nimekupa like maana huna hata moja.

Kama huna hela hata ya kupiga,
unasubiria tu tigo extreme, lazima uachwe!
Mbaya zaidi analeta mapenzi ya baby i love youuuuu

mfuko umetoboka.
Akikutana na mdada wa watu mpaka maku inakuwa nyekundu na kuwasha kwa kuikandamiza.
we Chele2 jipangeeeee ohoooo dodoma bunge linaendelea kipindi hiki watu wakooo bizeee vibaya sana.
we lia lia tu humu mwenzako anakula raha sahivi kama namuona dom hotel
 
Last edited by a moderator:
Pole dia ila cha kufanya hapo ni kuwa kinya kwa muda wa wiki kama mbili ukiona hutafutwi basi jua umeachwa so acha kujiumiza kwa kupiga masimu yasiyo na feedback mpendwa.
 
hiyo ni nini??
 
Duh!
huenda kweli.
unaweza kuta lile liimba kwaya la lile chama limemfunika na tumbo lake...lol!
 
  • Thanks
Reactions: amu
Mbaya zaidi analeta mapenzi ya baby i love youuuuu

mfuko umetoboka.
Akikutana na mdada wa watu mpaka maku inakuwa nyekundu na kuwasha kwa kuikandamiza.
we Chele2 jipangeeeee ohoooo dodoma bunge linaendelea kipindi hiki watu wakooo bizeee vibaya sana.
we lia lia tu humu mwenzako anakula raha sahivi kama namuona dom hotel

Mwenzio naumia ndugu yangu,leo nimempigia sim anadai imeharibika display! dah nimeshindwa la kufanya
 
Last edited by a moderator:
Pole dia ila cha kufanya hapo ni kuwa kinya kwa muda wa wiki kama mbili ukiona hutafutwi basi jua umeachwa so acha kujiumiza kwa kupiga masimu yasiyo na feedback mpendwa.

ahsante da white
 
Kaka ukiona manyoya ujuwe ....ameliwaaaaaaaaaaaaaa. Kwani wewe unadhani ni nani anapenda kutapatapa au hata kuwa playboy???...fanya fasta mpige chini huyo mlupo atakuzingua na kukutia presha bureeeeeeee
 
mlete aje muishi wote,otherwise sie hatujui nini linalomfanya abehave namna hio
 
Tafuta likizo mfuate huyo bi dada ukaongee naye...
Ukiendelea kutegemea simu utavuna mabua na kuachwa kwenye mataa.
 
nimekupa like maana huna hata moja.
Kosa si lake jaman
Join Date : 5th April 2013

Posts : 21
Rep Power : 309

Likes Received2
Likes Given0

Join Date : 5th April 2013
Posts : 21
Rep Power : 309
Likes Received2
Likes Given0
 
achana na huku twende kule hureply msg ujue
Kosa si lake jaman
Join Date : 5th April 2013

Posts : 21
Rep Power : 309

Likes Received2
Likes Given0

Join Date : 5th April 2013
Posts : 21
Rep Power : 309
Likes Received2
Likes Given0
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom