Sitaki kupenda tena..

Pole sana kijana..Ila mi naamini kuwa utakuja penda tena usiseme hivyo,omba Mungu akunusuru na wanawake pasua kichwa..ila usikubali kuwa mtaji.
 
Hahaaa bb si aende voda akachukue kwa mwanangu misana
 
Pole sana kijana..Ila mi naamini kuwa utakuja penda tena usiseme hivyo,omba Mungu akunusuru na wanawake pasua kichwa..ila usikubali kuwa mtaji.
khasante sana lakini roho inaniuma kila nikimkumbuka..
 
Pole sana, hakukupenda wewe bali alipenda vitu unavyompa na baada ya kuona havipati tena kaona huna maana..kila likuepukalo lina heri na wewe!
 
pole kaka, hakuna kiss wala sex, nadhani baada ya hapa sasa ukimpata mwingine utajua mwenye upendo, alikufanya wewe ATM MASHINE, sio siri wanadada wengine wanamatatizo sana.
 
siku shikwa masikio nilikuwa na mpenda na kama unaupendo waukweli hutataka kumuuzi mpenz wako na ukisha zingatia ananiambia yeye ni bikira@kalou.

huyo Hakuwa Mpenzi Wako...bali Mliishi Kama Mwanzo Yaani Marafiki ila Tofauti Ni Wewe Kujitoa Mzima.

Heheheh...2Yrs?
Unacheza we kijana... Pole Kwako Ya Kilemba
 
Pole sana, hakukupenda wewe bali alipenda vitu unavyompa na baada ya kuona havipati tena kaona huna maana..kila likuepukalo lina heri na wewe!
Khasante sana inawezekana alikuwa ananitumia bt kapoteza mtu ambaye sijui kama atampata tena mtu atakaye mpenda kama nilivyo mpenda mimi..
 
pole kaka, hakuna kiss wala sex, nadhani baada ya hapa sasa ukimpata mwingine utajua mwenye upendo, alikufanya wewe ATM MASHINE, sio siri wanadada wengine wanamatatizo sana.
Khasante sana Best,natamani nimpate mtu ambaye anajua nini maana ya neno Mpenz..
 

mimi ningempa ushauri kama wako...
 
Kaka nakupa pole sana. Achana na huyu binti ila mtakie heri katika maisha yake. I experienced the same pain. Lear from it you are never late. Kuna binti atakupenda minus your income. Atakupa mapenzi uliyoyamiss for long.....keep your hopes alive chali wangu...



 
Nahisi huna hisia wewe yaani umekosa mihemko, utakuwaje karibu na mpenzi wako hata kiss hakuna????????????? aaaah nenda kapimwe
 
nimekuelewa sana kaka nitaifuata sana...
 
Mie iliwahi kunitokea. nilimtongoza demu, kwanza akanitukana akakata simu, mzee nikamrushia vocha elf tano, kupiga tena akalainika. lakini akanipa masharti eti nikitaka urafiki nimnunulie simu na laini.

kwa vile nlikua nshakolea nkamwambia sawa . Sasa kabla cjanunua cm demu akanipigia akanambia anaumwa, nikamnunulia dawa na zawadi zengine nikampelekea. Kwa vile tulikua peke yetu kwenye gari nikamuomba nim hug, akakataa akanambia nsiwe na pupa.

Kitu cha ajabu ilikua yapata saa nne ucku, akaniomba nimpe lift aende sehemu mbali na kwao eti ni kwa kaka yake anaenda kulala. Machale yakanicheza, nkakataa kumpeleka.

Siku ya pili asubuhi na mapema nikampigia simu akaniambia hataki urafiki na mm. nikapigwa na butwaa. nkachombeza wee mara ukipiga cm anapokea dume n.k. mwishowe akanipigia yy akaniambia kama nataka tuwe wapenzi kwanza nimnunulie simu halafu nimpe na pesa laki 2, bila ya hivyo nisimsumbue.

kilichofuata ikawa daily anataka vitu vyake na mie namzungusha. Mwisho akaniambia anavunja urafiki na nisimpigie simu tena. nkamjibu sawa na sikumpigia tena.

cha ajabu yy sasa ndo kila mara ananipigia cmu na mm cpokei najifanya kama czioni cm zake.
my take: wadada kama hawa dawa yao ni kuwapotezea while you can, ukiwangangania utaishiwa kuchunwa na kutupwa jalalani muda wako ukiexpire
 
Pole sana jaman,ila huyo hajawah kukupenda kakangu tupa kule hakuwa wako huyo tupa kule muombe Mungu akupe wako wa ukwee,ndo wadada wa mujini ila jiandae kuombwa msamaha akipatwa na lakumpata huko aliko
 
sizani kama nitapenda tena na sikujitakia kupenda mapenz ni hisia na hisia huwez kuzizuia...
endelea na kitabu bro.... atakutafuta tuu huyooo.....ila lazima kuna mtu alikuwa anamla.....hata huyo bwanake wa awali alishamla....alinyimwa pesa na akakuona una kazi mweee.....siku zote nyani hupenda mti wenye matunda...pole mangi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…