Sitaki kupenda tena..

Khasante sana best Kaizer kwa ushauri wako nitaufuata..
 
Pole sana kaka, najua kupenda utapenda tena ila ukiingia kwenye mahusiano usijiaminishe asilimia mia.Lolote linaweza kutokea katika mapenzi.
 
aiseee hivi wanaume wa design yako wapo eeee??? miaka miwili no sex no kisssss! chezeiya visarata wa mtaa weye, cku ya kwanza mkono kwenye chuchu! puuuuuuuuuuuu!
tupo na ndiyo tunaishia ishia na kwamtu aliyekuzwa kidini sioni chakushangaza coz dini inakataza kuzini@cacico
 
Ni upepo tu utapita na utarudi kulekule ulikoishia!
 
Hujafa hujaumbika.What if it happens you fall in love again?
Mimi naamini mpenz wakwanza ndiyo uliyempenda zaidi atakayekuja mbele hatamkigombana huwez humia sana kwasababu uliyempenda kweli alikuwa wakwanza nandiye aliyekufundisha mapenz@Ndahani
 
teh teh..,khasante kwa ushauri wako@by default
 
udomo zege umekuponza si kitu kingine. kwa mwanaume aliyemwoga wa kutongoza, anakubalina na kila aambiwalo na mtu anayehisi anampenda. By the way, katika dunia, hakuna UPENDO katika mapenzi, ni suala la hisia tu bro
Mapenz ni upendo nakama hunaupendo kwampenz wako hutoweza kumlinda namimi sidomo zege huwasipendi kucheza na hisia zamtu nandiyo maana nimeumia sana na kushauri kama unatabia hiyo uache kwasababu huyo uliyekuwanaye inawezekana anamapenz yakweli kwako na ukimpoteza sirahisi kumpata mwingine kama yeye ntamaholo
 
Last edited by a moderator:
nakumbuka machungu, na mm ilsha wai ntokea, toka daraxa 4 mpaka 4m6 ni wapnz nikaja achwa kiajabu ckuwai ambulia hata kiss..izo ni tabia za watt wa kchaga
watu hawaamini kama unaweza kaanampenz bila hatakupewa kiss na Pole sana kwayaliyo kutokea uliwezaje kumsahau@kbosho
 
Mkuu pole sana naona bidada kakuchanganya kiasi kuwa ninaamini badala ya upadre umeandika upradi lol
Khasante sana hapa kidogo ninavyo pata ushauri ndiyo napata nafuu bt kwakusema kweli nimeumia sana mjasiria
 
Khasanete sana.
 
Khasante sana kwaushauri wako.
 
Teh teh teh,Nakuonea huruma bro ila inavyoonekana huyo alikukataa huko K'njaro kwakuwa hukuwa na kaz na huyo bwana anae na hakuna bikra hpo!
Hapana alikuwa naye na bwana yake na nilikuwa namjua kuhuhusu bikira sinauhakika hapo!
 
Everythng hapen 4 a reasn it waznt ur choice mshukur mungu na hvyo u gt a plan f being padri yawezekana baada ya kubadilisha maamz mung kakuandalia ki2 bt we ume rush utapata mwngn utampend mpka utadhan hujawah kupenda
Khasante kwa ushauri wako mzuri nawakunipa moyo Best.
 
pole sana ila shukuru mungu umeepushwa na mengi huwezi jua pengine ameathirika. Mshukuru mungu kwa yote na wala usimbembeleze mwache apiteee umri wako wa kuoa ukifika utapata mke tuu na wala sio mpenz wa kukuchezea
Khasante sana kwa kunipa ushaur wa kiroho..
 
Pole sana kaka, najua kupenda utapenda tena ila ukiingia kwenye mahusiano usijiaminishe asilimia mia.Lolote linaweza kutokea katika mapenzi.
Khasante sana,sasa nimejifunza hilo nasizani kama nitampenda mtu mwingine kama nilivyo mpenda yeye..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…