Sitaki kuamini!!!!!


Sawa daddito, zungumza na mummy aniandalie kila kitu! Yaan hapa ninavyoandika ni machozi tu yananitoka hata nashindwa kuelezea. Nikifika home nitawasimulia ana kwa ana!!!!!!! :crying: :crying: :crying:
 
Mummy we acha tu.... Majanja mama yangu! Mie ngoja tu nirudi nyumbani maisha ya ndoa yamenishinda.. Yaan naugeuza usiku kuwa mchana?????

Aione daddito watu8

hahahaaaa!!pole sisy
ndoa uvumilivu,shem C6 kaanza mbwembwe?
 
Last edited by a moderator:
Mpaka saiv sina hata lepe la usingizi, sijui leo itakuwa kama jana????
 
He he heee charminglady unaumwa ama aje? Mi ndio naamka, asbh ya sa2; ungeweza mida hii uhamie huku then urudi huko;
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…