CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Yooooooo.... Maweeee, hakuna mutu hata mmoko lol!!!!!! :help:
Pipoooo....
Yaani sitaki kuamini kama saa nzima imeisha sina hata lepe la usingizi....
Nani yuko majicho akuje pande hizi tupige soga???
Babu Asprin leo hauko lindoni??
Heaven on earth uko shift ya usiku au???
Khaaaaa.... Sijui niwashe TV?? Aaaah no, ntawapigia watu kelele. Ngoja niamshe popo hapa Kijiweni!!!!!!!
:sad: :sad:
Naona dada binamu kwako usiku ndio umeingia sie ndio twaamka, pole kwa mkesha!
kutesa kwa zamu wii.......tumuache alale tu
Tupo charminglady kulikoni no usingizi na night yote hii?
Kichwa cha habari kimekaa kushtua shtua hahahah una mambo wewe
Ushalala ww. Sie wa kibaha tushaamka tunaoga twende mjini kabla ya malori. Weww unawaza kulala aisee. Haya banaa
Aaah.... ndo nastuka wajamen, ngoja nilale kidogo make nimekesha mwenzenu!!!
Lady doctor, Heaven on earth, King'asti
Aaah.... ndo nastuka wajamen, ngoja nilale kidogo make nimekesha mwenzenu!!!
Lady doctor, Heaven on earth, King'asti
haya ulalage salama ngoja sie tukujengee taifa cousin!
wii hivi huu ujenzi utakamilika lini