Fantastic Beast
Member
- Feb 18, 2019
- 53
- 539
Mungu kawashushia laana kuu hawa watuMajuha hawa walijiaminisha kwa miaka mitano ya juhudi za kidikteta kuua upinzani zimefanikiwa kumbe walijidanganya.
Hiyo dawa Imeshepatikana na ndio maana ccm wanahaha,.yaani wamepoteana kabisa, Mungu akiweka mkono wake mahali hakuna wa kumzuia asante Yesu wa Nazareth.Kumbuka kwamba CCM haipo madarakani kwa ridhaa ya wananchi bali kwa state organs. Term ya pili ya Kikwete, Slaa ndiye aliyeshinda. First term ya Magufuli, EL ndiye aliyeshinda.
Ni tume ya uchaguzi na polisi ndiyo wanaoiweka CCM madarakani. Mwaka huu lazima tutafute dawa ya hivyo vyombo wanavyotumia kubaki madarakani.
Sasa wamesababisha watanzania kutazama vyombo vya nje zaidi. Tv na magazeti yetu vimesusiwa sana sana labda wafungie maandazi. Hii ni hasaraKwamba hawakuwaza wakijibandika kwenye mabango peke yao nchi nzima watachokwa machoni pa watu na watapoteza mvuto machoni na hata mioyoni mwa watu.
Kwamba kufanya siasa peke yao kwa miaka 5 kutafanya wananchi wawe na njaa & kiu kubwa sana ya kusikiliza upande wa pili wa shiling.
Kwamba kizazi cha sasa hakidanganywi kwa propaganda za aki na ukwa kama mwaka 1980.
Kwamba watu wengi sasa hawategemei tv na redio na magazeti kama njia ya kupata habari hasa za kampeni na uchaguzi. Na watanzania walivyo wafukunyuku basi habari zote wanakuwa nazo hata kabla ya taarifa ya habari saa 2 usiku.
Sitaki kuamini haya na mengine mengj mlikuwa hamyajui. Poleni sana.
To Every Action, There is Equal and Opposite Reaction.
Pana mgombea kaweka mabango nchi nzima hadi chooni lkn bila diamond atabakia alone jukwaani,Sasa wamesababisha watanzania kutazama vyombo vya nje zaidi. Tv na magazeti yetu vimesusiwa sana sana labda wafungie maandazi. Hii ni hasara
Tumewaza sawa mkuu, hata huko kwenye hizo cohesive bodies kwenyewe sasa hivi kuna joto la kutaka kuishi kama viapo vyao vitakavyo.Kumbuka kwamba CCM haipo madarakani kwa ridhaa ya wananchi bali kwa state organs. Term ya pili ya Kikwete, Slaa ndiye aliyeshinda. First term ya Magufuli, EL ndiye aliyeshinda.
Ni tume ya uchaguzi na polisi ndiyo wanaoiweka CCM madarakani. Mwaka huu lazima tutafute dawa ya hivyo vyombo wanavyotumia kubaki madarakani.
Nimekuelewa sana kwa hiyo paragraph ya kwanza. CCM wamechokwa, awe Magufuli au chama chenyewe wote hawatakiwi.Kumbuka kwamba CCM haipo madarakani kwa ridhaa ya wananchi bali kwa state organs. Term ya pili ya Kikwete, Slaa ndiye aliyeshinda. First term ya Magufuli, EL ndiye aliyeshinda.
Ni tume ya uchaguzi na polisi ndiyo wanaoiweka CCM madarakani. Mwaka huu lazima tutafute dawa ya hivyo vyombo wanavyotumia kubaki madarakani.
Vyombo vyetu vya habari vyote vimetekwa na ccm, Jana polepole kaenda Live masaa mengi tu akiwa na chaneli ten na TBC1, wakati wagombea wengine hawapewi nafasi hyo.mbaya zaidi viongozi wetu wa dini wako kimya tu kuhusu uminywaji wa haki hizi.TBC1 inaongoza kuvunja haki za vyama vingine kupewa Live coverage.Msajili wa vyama yuko kimya, mwenyekiti wa tume Yuko kimya.Tunahitaji mabadiliko makubwa sana kwa taifa letu sasa.Magazeti yote ya Leo hayajataja mwenendo wa kampeni za Lissu jana bali wameandika kuhusu Polepole jana. Ukiona Lissu au Zitto au CHADEMA au ACT ni kwamba wanataja dongo alilotoa Polepole kwa mtu au Chama husika.
Yule anayeitwa Abasi kazi yake kuu ni kufungia vyombo vinavyoikosoa ccm na kuvikumbatia vyombo vya habari vinavyoipamba ccm.kiukweli Mimi nitampigia kura lissu ili kurudisha haki, amani, Uhuru na umoja kwa taifa letu.Sasa wamesababisha watanzania kutazama vyombo vya nje zaidi. Tv na magazeti yetu vimesusiwa sana sana labda wafungie maandazi. Hii ni hasara