Sitaki dawa

Brother help us telling us the truth about HIV/AIDS and what actually PITC measures. Okoa hiki kizazi Brother
 
ngoja niweke jezi yangu la mchezo pembeni kwanza
 
Hii post yako unapotosha mazima.

Mentor na yeyote mwingine kama unajipenda /mnajipenda msifuate huu ushauri hata kidogo.

Utakupoteza /utawapoteza na kuwaumiza.

Ukishindwa kusema ni wapi nimepotosha basi nitakuweka kwenye kundi la wale wale wanaotembea kama miili tu lakini akili zimeshikwa na wengine.Umepewa akili uitumie.

Ndio maana wazungu wamewa grade waafrika kwenye IQ 70 ambayo huko kwao is regarded kama ni mentally retarded people.Kama uchawi upo,basi hapa kwenye HIV/AIDS wamarekani watakuwa wametumia uchawi kushika akili za watu,hii ni kwasababu kuna mambo ya wazi kabisa yanajionesha kwa namna zote kwamba HIV/AIDS ni feki,lakini watu hawaoni.Ndio maana nasema waafrika wengi(kasoro mimi na wengine wachache kama Thabo Mbeki nk) wamerogwa na walioanzisha uzushi huu.

Watu wanakufa kwa ARVs halafu wanasingizia HIV.Mbona kuna watu wengi wamepimwa HIV+ na hawatumii ARVs maisha yao yote na hadi sasa wako safi?Mbona hampeni kujiuliza maswali kama haya?

Mbona kuna ndoa nyingi tu mmoja ni HIV+ na mwingine ni HIV- na wameishi zaidi ya miaka 10 na wamezaa watoto katika hali hiyo na watoto pia ni HIV- na wote hawatumii ARVs?

Mbona kuna watu wengi wamepimwa HIV+ halafu baadaye wakapimwa HIV-?

Kama umeshindwa kujiuliza baadhi ya maswali kama haya na kupata majibu,basi pole sana,endelea kusema kwamba mimi napotosha.

NB:
Naomba umsikilize huyu Prof hapa chini kwenye link hii,huyu ndiye mgunduzi halisi wa huyo 'HIV' unayemwabudu,sasa msikilize huyu prof aliyebadilisha sayansi kuwa imani.Halafu sema ukweli wako kama na yeye amepotosha,na useme amepotosha wapi.Kama unaamini kwamba alichokisema ni kweli,basi jua wazi kwamba mimi ninajitambua na najua ukweli wa kile ninachokisimamia,kwa ufupi,sikurupuki.

Fungua link hapo chini.
 

Deception
How comes without using ARV's the viral load increases and CD4 count goes down?
 

Be strong.
Nina ndugu yangu upande wa mama (nae ni mchagga),baada ya kugundua kaathirika alijikaza akamuambia bibi yangu (mama yake) kuwa kaathirika.(Na ni mwanamke yeye)...vipi wewe mwanaume utashindwa vipi?

Nae alichagua kutokutumia dawa kama wewe...
Sadly tumemzika mwezi uliopita na ni baada ya miaka 10 tokea agundue kaathirika.
Yeye alikufa kwa uzembe wa madokta waliomzidishia dose ya malaria,ila alikuwa mzima wa afya kabisa.

Kuathirika sio mwisho wa maisha,mwisho wa maisha ni pale tu Mungu anapoamua kuichukua roho yako.
Timiza ndoto zako,jiendeleze kielimu kama ulivyokuwa umepanga.
Wewe ni Mentor,na utabakia kuwa Mentor.
Hakuna kitakachobadilika!
All the best...
 
mkuu hebu tupe maelezo zaid juu ya HIV,kama kunauzi umeshawah kudadavua naomba link.
 
Hongera Sana Mentor Kwa Story Uliyoitunga Vizuri Hakika Itatujenga
 
Deception
How comes without using ARV's the viral load increases and CD4 count goes down?

Kwanza kabisa inabidi ujue hiyo term 'viral load' ina maana gani,vinginevyo yatakuwa yaleyale kama vipimo vinapopima kitu kingine kabisa lakini watu wanaambiwa kwamba vinapima HIV.Ukielewa hapa itakuwa rahisi kuelewa na jibu nitakalokupa.Inabidi twende taratibu ili uelewe,hata wao waliotudanganya walitumia muda mrefu kujenga IMANI hii kwenye vichwa vyetu,vivyo hivyo ili na mimi niitoe imani hiyo kwenye vichwa vya watu inabidi niende taratibu na kwa mipango.

Ukila green food CD4 zinapanda,ukila mbegu za mlonge CD4 zinapanda,Ukipima CD4 nyakati mbalimbali za siku ie mchana na asubuhi utapata viwango tofauti bila kujali kama umepimwa HIV+ au la.CD4 zinaweza kuwa chini ya kiwango lakini mtu ukawa na afya njema sana.Hivyo CD4 ni function yenye variable nyingi sana lakini 'HIV' si mojawapo kati ya hizo variables.Unaweza ukawa na CD4 katika kiwango kinachohitajika halafu ukawa unaugua ugua pia.Immunity ni suala pana sana na complicated as far as knowledge ya wanasayansi ilipofikia kwa sasa.

Kama ukichukulia viral load kama ni wingi wa HIV kwenye damu basi hilo ni tatizo,hii ni kwasababu,kama hata huyo HIV hajawahi kuonekana kwa macho kwa kutumia hivyo vipimo vyao,sasa wanapata wapi data za viral load?Kama wanapima kitu kingine na kusema kwamba ndio viral load,basi hiki kitu kingine ndio nataka kiwe mjadala wetu sasa,maana hapa ndipo watu wanapodanganywa.

JIBU:
Swali lako liko kimantiki zaidi,hii ni kwasababu inategemea mlengwa ana matatizo gani ndani ya damu yake.Swali hili ni rahisi kulijibu kwa kutumia mfano halisi wa mlengwa.Kwa kuwa najua hata kama mlengwa ameambiwa ni HIV+ na hatatumia ARVs,kuna mambo mengine ya kufanya kwenye mwili wake ili kumfanya apime HIV- na kama nitataka CD4 zake zipande pia(ingawa sio muhimu) nina uwezo huo,ni rahisi sana,ni suala la nutrition na antioxidants kulingana na tatizo lake la msingi.Hivyo kama hakuna mfano unaoonekana,ni vigumu kujibu swali lako moja kwa moja.Vitu vingi vinaweza kufanya CD4 zipande au zishuke,lakini si 'HIV'.Ni kweli kwamba ARVs zinapandisha CD4,but is it a big deal?NO.Ni ujanja wa kisayansi tu ili kujenga IMANI kwa watumiaji wa ARVs.

Kumbuka yule mgunduzi wa huyo anayesemwa kuwa ni 'HIV' alitanabaisha kwamba,"immune system of many African people doesn't work well already,even if they are not infected with HIV".Hivyo kujua kwanini kinga ya mlengwa haiko sawa inabidi kumwona mlengwa,kujua utaratibu wake wa maisha ambao mwisho wa siku ndio uliomsababisha awe hivyo.
 
mkuu hebu tupe maelezo zaid juu ya HIV,kama kunauzi umeshawah kudadavua naomba link.

Kuna nyuzi nyingi tu mkuu,ila watu bado wagumu na hawana hata dalili ya kujiuliza,hawa jamaa walioanzisha uzushi huu wa HIV/AIDS watakuwa 'wachawi',nashindwa kujua ni kwanini watu hawataki kujiuliza maswali ya msingi sana na badala yake wanakuwa kama mazuzu,huku ndio kurogwa kwenyewe.

mojawapo ya link ni hapo chini,jielimishe mkuu;

samahani,unaweza ku paste hiyo kwenye google ikakuletea,nimekosea jinsi ya kuiweka.

Inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?
 
Ninajitahidi sana kukuelewa lakini from HIV to AIDS is non revers-able and this is caused by higher viral load and low cd4 counts. Kwanini ni shida kucontrol HIV to AIDS without ARV's?
 
Ninajitahidi sana kukuelewa lakini from HIV to AIDS is non revers-able and this is caused by higher viral load and low cd4 counts. Kwanini ni shida kucontrol HIV to AIDS without ARV's?

Umeangalia na kusikiliza ile video niliyotuma kwa mwenzio?Sikiliza kwa makini ile video,kwenye hiyo video ALIYEGUNDUA huyo HIV ndio kashasema kwamba 'HIV' anaweza kuondolewa kutoka kwenye damu ya mtu,sasa wewe unayekataa ni nani?Hapa sasa mnanichanganya,kwani ninyi mnamwamini nani kuhusu HIV/AIDS kama sio huyu mgunduzi?

Wewe ndio unajua kwamba ku control HIV to AIDS ni shida,lakini mgunduzi aliyefanya wewe ujue kwamba kuna HIV anasema kuna very simple measures za ku control HIV.Sasa wewe ni nani unayekataa?

Utaelewa taratibu tu kwamba HIV/AIDS ni IMANI na hakuna kijidudu chenye sifa ya kuitwa HIV.

Fuatilia ile video niliyotuma usikilize.
 
Kuna dada mzungu aliolewa na mhindi, walipata mtoto mmoja wa kike. Kuna siku yule mhindi anatoka kazini alijikuta na homa kali, ilibidi akimbizwe hosptali, kufika kule vipimo vikachukuliwa kuangalia infection inayosababisha homa vyote vimekuja -ve. Alizidiwa katika muda wa masaa 24 hospitali alikata roho. Vipimo vya HIV vimekuja +ve wakati jamaa akiwa marehemu tayari. Familia yake walikataa kabisa ndugu yao hawezi kuwa HIV+, baada ya mazishi mke wake alipimwa alikutwa +ve, lakini mtoto hakuwa na matatizo. Yule dada alianza kutumia dawa, hii story amenipa mwenyewe, hii pia inanifungua macho jinsi wenzetu walivyo wazuri wa kuweka mambo bayana, labda kwakua wamefanikiwa katika kukontol ugonjwa.
 
Deception kama ukiona wanakuzingua sana na wanajifanya vichwa ngumu, achana nao tu,! Kwani wanakulipa!..... ARVs ZITAKAPOANZA KUWAUWA NDO WATAKAPOTIA AKILI
 
...
Nae alichagua kutokutumia dawa kama wewe...
Sadly tumemzika mwezi uliopita na ni baada ya miaka 10 tokea agundue kaathirika.
Yeye alikufa kwa uzembe wa madokta waliomzidishia dose ya malaria,ila alikuwa mzima wa afya kabisa
........

Kama ilivyo ada,mifano mtaleta ninyi wenyewe,nikileta mimi naweza kuonekana kwamba nimetunga.

Sasa case ya hapo juu,mtu ameambiwa ni HIV+ na hatumii ARVs kwa miaka 10 lakini bado anakuwa na afya njema,anakufa tena baada ya kuzidishiwa dozi ya malaria(mnajua kwamba malaria haichagui,kila mtu anaweza kuugua malaria bila kujali kama ni HIV+ au HIV-).Ina maana kama si uzembe wa daktari asingekufa/angekufa kwa jambo lingine kabisa.

Tena nadhani marehemu anaweza kuwa aliathirka kisaikolojia kiasi kwamba hata kinga yake haikuwa sawa kutokana na imani kwamba alikuwa na huyo 'HIV'.Woga unaweza ukawa ndio ulimwathiri.

Sayansi ya kweli:

FACT 1: HIV ni jina alilopewa jamii moja ya retrovirus ili kuonesha kinadharia kwamba retrovirus huyo ana uwezo wa kushusha kinga ya mwili wa mtu,lakini ukweli ni kwamba retrovirus WOTE,I mean ALL,hawana uwezo huo waliosingiziwa kwamba wanashusha kinga ya mwili,don't take my words,ask yourself OR read by yourself form other non mainstream sources.

FACT 2: Retrovirus WOTE huanza kusababisha ugonjwa fulani baada ya wiki kadhaa na wakizidi sana ni mwezi mmoja tangu kuingia kwenye damu ya mtu,na matatizo yenyewe si makubwa,ni ya kawaida tu.

Sasa huyu marehemu aliyetajwa kwenye mfano wa hapo juu tunaambiwa ameishi miaka 10 bila kutumia ARVs.

DO YOU STILL THINK ALIKUWA NA HIV?

kama ninayosema ni uongo basi hata mgunduzi wa HIV naye ni muongo.Napata shida sana kujua kwamba watu wamepata wapi haya wanayoyasema kuhusu HIV/AIDS,kwa maana yale yanayosemwa ni tofauti kabisa na anayosema mgunduzi wa huyo 'HIV'.

Ndio maana nasema kwamba waliotunga uongo huu wanaweza kuwa walitumia pia nguvu za kishirikina kudanganya watu.
 
Acha woga mkuu kapime, usiwe kama sisi ambao hata kwa fimbo hatuwezi enda

Sasa unamshauri nini mwenzako mkuu?
Ikiwa wewe hata kwa fimbo huwezi kwenda?
Na kwanini huwezi kwenda kupima?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…