Sitaki dawa

I AM SORRY TANZANIA..I AM SORRY GUYS!

I AM SORRY JF AND ALL WHO CALLED ME MENTOR.

ADIOS...

Mentor kupata VVU ndiyo unaahirisha ndoto za maisha yako?

Pole sana mkuu ila walioathirika ni wengi sana na wanaendelea kupursue the dreams of their lives.
Amini nakuambia unaweza kuja kufa kifo kingine kabisa, kisichokuwa na uhusiano na HIV /AIDS.

Hata great leaders wengi wa Nchi hii wameathirika wengi lakini hakuna hata mmoja amekatisha ndoto za maisha yake.

Ata boy, nenda kachukue Masters yako, sidhani kama hiyo inakudisqualify kwenda kusoma.

Kuna magonjwa ya kukata tamaa kama vile kansa nk lakini siyo ukimwi Bro.

Wapo watu nawafahamu naushuhuda kibao, nitafute mkuu nikuweke vizuri kisaikolojia maisha yasonge
 
Kuna nchi ambazo ukiwa HIV+ huwezi kwenda kusoma, sijui kwa nchi aliyotaka kwenda (japo bado nadhani jamaa ameleta tu story)
 
Tafuta pesa nipate kukutibia hayo maradhi yako ya Ukimwi na utapona kwa muda wa miezi 7 .
kwa Mawasiliano MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169

Anapona vipi /nini?

Alivyoelezea anaonekana bado ni mtu na afya yake hajaanza kuumwa magonjwa yoyote nyemelezi zaidi ya kuwa ameathirika na VVU.

Unamaanisha unatibu hivyo VVU vinaondoka kwenye damu?

Fafanua
 
nipo teyari kukupa dawa ambayo nimeachiwa na babu yangu...na wala usijari kuhusu malipo sitachukua ata shilingi yako kama upo teyari nitafute usikate tamaa jamii bado inakuhitaji
Hiyo dawa inatibu nini?

Kuna kuathirika na VVU na kuna kuanza kupata magonjwa nyemelezi.
 
Kuna nchi ambazo ukiwa HIV+ huwezi kwenda kusoma, sijui kwa nchi aliyotaka kwenda (japo bado nadhani jamaa ameleta tu story)
Okay, km by any chance UK ni mojawapo basi akajisomeshe IFM km alivyojipangia mwanzoni.
 


Hii post yako unapotosha mazima.

Mentor na yeyote mwingine kama unajipenda /mnajipenda msifuate huu ushauri hata kidogo.

Utakupoteza /utawapoteza na kuwaumiza.
 
Wapendwa, thanks for the wishes ingawa sidhani kama ninastahili pole kutoka kwenu.

I am on my way kwenda Moshi kwa wazazi, kichwa kinaniuma kuwaza nitamueleza nini mama yangu. If only I could turn back the years.

Kama nilivyosema mwanzo sitatumia dawa ya mtu yeyote ile. I chose this.



 


I feel you Bro, ukirudi unitafute. Nipo jirani yako
 
Pole brother, ukisha kaa sawa nitakutafuta japo tubadilishane mawazo
 
mmmh nimelia Wallah.. sometimes kuna mambo yanatokea ya uzembe sana..
ngoja nikapime japo ujasiri sina kabisa.
Pima sista, utapata relief kubwa mno. Last week nililazimika, sikutaka, na nilipinga mno kama kawaida yangu. Lakini nililazimika, for the sake of my wife, sikusikiliza ushauri wa mtu yoyote, nilipofanya maamuzi nilipima. Majibu alichukua wife. It's not easy though.

Nenda MNH, wapo vizuri sana sasa hivi, hakuna foleni kabisa na kama unahitaji ushauri nasaha wapo vizuri pia. Tulipewa cases chache, watu wakipewa majibu yakiwa + wanavunja hadi makabati ya ofisi kwa panic, lakini mwisho wanakalishwa chini na kueleweshwa tu na maisha yanaendelea. Maisha lazima yasonge, whether + or -.
 
..... Baada ya muda huyu mwingine anakuwa + sabb ya mwenzio kukutwa +. I think dis thing plays wid mindset...

MECHER ili upate jibu la huo mkanganyiko hapo juu inabidi kwanza ujue ni kitu gani kinachopimwa na hivyo vipimo vinavyosemekana ni vya 'HIV'.Watu wengi hawajui jambo hili,jambo hili ndilo kati ya mambo muhimu sana na ya lazima kujua ili kupata hitimisho kwamba HIV/AIDS ni feki.Hapa utajua waziwazi kwamba hakuna kiumbe yeyote duniani mwenye sifa ya kuitwa HIV,pia utajua kwamba HIV ni jina tu ambalo linawakilisha kitu kisichokuwepo na badala yake wanapima kitu kingine kabisa ambacho hakionekani kwa macho ambacho hufanya vipimo vitoe majibu HIV+ kama kipo mwilini na vipimo kutoa majibu HIV- kama kitu hicho hakipo mwilini.Kitu hiki SI HIV na wala si kijidudu,lakini wao wamekipa jina la HIV,na wamefanikiwa kuwashawishi watu kwamba kweli kuna HIV,hivyo watu wanaamini kwa IMANI kali sana.LAKINI HUYO HIV ANAYESEMWA HAJAWAHI KUONEKANA.Muulize daktari yeyote unayemfahamu ambaye yuko miaka mingi kwenye nyanja ya udaktari kama ameshawahi kumwona HIV,atakwambia "sijawahi".

Ukishajua kitu hiki kinachopimwa ni nini,hapo itakuwa rahisi wewe kujua kwamba,kumbe hata wewe unaweza kupimwa HIV+ hata kama hujawahi kuwa katika mazingira yoyote ambayo wao wanaita hatarishi,kumbe hata Obama,Bush,Trump anaweza kupimwa HIV+ bila kujali kama wana kijidudu chochote au la mwilini,kumbe hata wanandoa wanaweza kupimwa HIV+ wote wawili wakati fulani na wakati mwingine wakapimwa HIV- wote wawili au mmoja wao HIV+ na mwingine HIV- na kinyume chake,kumbe unaweza kupimwa HIV+ leo halafu kesho ukapimwa HIV- bila kutumia dawa yoyote ya hospitali.

HIV/AIDS ni uongo ambao umeshagundulika zamani tu ila watu wa dunia ya tatu kama hapa kwetu Afrika/Tanzania bado wako gizani kutokana na uwezo mdogo wa kufikiri ambao umechangiwa sana na mazingira tunayoishi.Watu wako busy na whatsapp,insta,facebook,twitter.....nk kufanya mambo ya udaku tu,hivyo si rahisi bongo kama hizi kutengemaa kiakili,ndio maana napata upinzani mkubwa sana ninapoelezea suala hili kutoka kwa jamii kama hii yenye uelewa mdogo wa mambo yanavyoendelea kwenye dunia hii ya sasa.

-Kama mme ni HIV+ na mke ni HIV+,watu wanaona ndio sahihi.Lakini kama mme ni HIV+ lakini mke ni HIV-,watu watasema aidha mke hakupata mchubuko au mungu amemlinda.

-Kama mtoto amezaliwa kutoka kwa mama aliyepimwa HIV+ lakini mtoto ni HIV-,watu watasema ni kwasababu mama alikuwa anamlinda mtoto kwa kula ARVs.Lakini kama mama hatumii ARVs na mtoto amezaliwa HIV-,watu watasema mungu amemwokoa mtoto/malaika wake.

-Kama mtu amepimwa HIV+ leo halafu akaendelea kupimwa HIV+ siku zinazofuata,watasema huu ni uthibitisho kwamba HIV hana dawa.Lakini kama mtu huyo atapimwa HIV- baadaye,watasema labda vipimo vilikosea mwanzoni au mpimaji hajui kupima.

-Mtu akipimwa HIV+ halafu kama hatatumia dawa/ARVs maisha yake yote zaidi ya miaka 40,watasema huyo ni CARRIER,yaani haadhuriki na HIV,lakini akitumia ARVs na kuishi zaidi ya miaka 10 watasema ARVs ndizo zimemlinda miaka yote hiyo.

Bado kuna mifano mingi inaonesha wazi kabisa kwamba HIV/AIDS ni IMANI iliyojengeka vilivyo ndani ya bongo za watu,hasa waafrika/tanzania.Watu hawana uwezo wa kuona mikanganyiko kama hiyo kutokana na imani waliyonayo,hivyo hawawezi kamwe kujiuliza maswali fikirishi,ndio maana hadi leo hii,wenzetu wazungu suala hili haliko kwenye vichwa vyao,ni sisi tu weusi,na ndio maana misaaada mingi wanai push kwetu,kila kijiji utaona land cruisers zao za gharama kubwa,MSD imejaa ARVs ambazo zinahitaji watu wa kuzitumia,watu hao watawapata vipi kama sio kuwalazimisha kupima kwa kutumia vipimo vyao ambavyo ni very strategic na vyenye lengo la kutafuta wateja wapya ili takwimu iongezeke ili serikali iongeze bajeti ya ARVs kulipia kwenye viwanda vya ARVs walivyoingia navyo mikataba.

Mwenye masikio na asikie.
 
Take courage man, usiumize kichwa coz that's not the end of the world for you. You will be around for as long as God wants you, muhimu ni hii transition period, uweze kutawala fikra na uchukue maamuzi sahihi kwako na wanaokuzunguka.

Nenda home katulize kichwa for sometime, rudi town uendelee na mishe zako, tafuta mwenza uoe (kama unahitaji) upate uzao na maisha yasonge.
 
Sawa tutapima, ila nataka na free papuchi pia kwani ugwadu nilio nao utaniua dear! Will you help me please?
haukuniona kwenye ile kampeni ya no free p.. anyways tuachane na haya tunaharibu dhima ya mtoa mada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…