Sitakaa nimuamini tena mwanamke

dawa ni kufumua marinda tuu..nikijua kanisaliti nafanya kama kupotezea then namwomba game,akikubali i'll *** mtaro na namwacha,,,,,dadeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeq
 
ni kawaida kusikia haya maneno, coz hata wanawake wanasemaga hvyo wakitendwa afu mwisho wa siku unapata mwingne life goes on then unaumizwa tena then hvyo hvyo utakuja jf kulalamika till u go to the grave
 
Wanaume wa kulialia kama huyu siwapendi haswa.

wewe ukikaa kwenye daladala, ama basi umbali wa lisaa tu ushapata mke..unajiliza humu.
 
ndo unagundua leo kama wanawake mataka taka tu...!!!!
 
Mbona umechelewa sana kulijua hili
 
Acha aende, usimlazimishe akupende yawezakuwa lilikuwa si chaguo lako
 
Duh!!! Pole kwa yaliyo kukuta mkuu. Mpaka moto umepata ganzi..Polee
Yaani umekuwa frustrated mpaka unakosea kuandika. Polee sana
 
Mwanamke sio kiumbe cha kuaminiwa asilani abadani
 
Blv me mkuu akiona huu uzi anakuomba msamaha fasta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…