Sitakaa nilale na mke wa mtu

Hamna mume au mke wa mtu anapenda kuchepuka. kuna mazingira hutokea inafanya iwe hivyo tu. mazingira mengine ya msingi, mengine ya kipuuzi. mleta mada ukiifikiria ndoa kwa mapana na marefu, yapaswa umuombe Mungu sana akusaidie
 
Watamu hao!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Asikwambie mtu.
 
Nakubaliana na ww ila kuniambia ni wadhaifu ckuelewi kabisa hapo, mtu ana akili timam kabisa kashobokea wanaume alafu isemekane ni udhaifu... Kwa style hiyo atachukuliwa na kila mtu sasa
 

Mi ntakua muongo kama ntasema sijawahi kulala na mke wa mtu,sina mpango wa kutembea na mke wa mtu tena labda itokee sijui kama ameolewa ila vngnevyo nimejifunza kua sio jambo zuri kutembea na mke wa mshkaji,ila wanahonga,wanajua kulea?!
 

Swahiba ukweli ni kwamba omba mungu mke wa mtu hasikupende yeye. Akikupenda utatembea naye tu. Wana convincing power na trick nyingi kama akikutaka yeye. Alafu ukiwa mgumu anaweza kukufanyia msukosuko wewe ukaonekana ndo ulikuwa unamtaka.
 
Tatizo kila demu yupo single, kila mwanaume yupo single na mkifumaniwa munamsingizia shetani.
 
Hamna mume au mke wa mtu anapenda kuchepuka. kuna mazingira hutokea inafanya iwe hivyo tu. mazingira mengine ya msingi, mengine ya kipuuzi. mleta mada ukiifikiria ndoa kwa mapana na marefu, yapaswa umuombe Mungu sana akusaidie

Kweli kbs kuna ndoa zingine zina majaribu ukihadithiwa huwez amini wkt fulani matatizo yanasababisha mtu kuchepuka mungu atuongoze tuwe na subra hp duniani kuna mitihani sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…