Tatizo wabongo hakili zetu mgando sana.. Hizo kds,kks,tan, cos na vingine tunazitumia kila siki sio kazini tu hata katika mishe mishe zetu za kila siku.
Kwa wanaozielewa wanajua japo application yake unaweza usijue kuwa kuna maths imekuwa involved ila usidanganye watu kuwa hazina matumizi.