Robbykan
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 509
- 470
Wakuu mm nimekuwa mmoja Kati ya watu wanaoamini katika betting. Juzi jumamoc Nimeweka mkeka Wang meridianbet Kwa dau la elfu hamsin na possible winning ilikua million 26 nilijiachia kwa hicho kiac Kwa kuwa Nilikuw nimetoka kula Laki nne wiki iliyopita.
Hyo cku Newcastle alikuw Nyumbani akicheza Na Wolverhampton Na yenyew ilikua Ndani ya mkeka Wang Daaah filimbi ya mwisho Newcastle kalala mbili bila Nyumbani kwake..
Hiyo cku ya jumamoc Ckulala kabisa wala kula chochote.. Imeniuma Sana Mpaka Leo najiona kama napungukiwa Na kitu akilini mwangu maana timu moja ndo imeharibu million 26.nikaishia kula Laki moja na themanini.
DAAAH AMA KWELI HUU MCHEZO HAUHITAJI HASIRA.