AnaiwezaKazi ya uchekeshaji huiwezi hata kidogo
Hahahahahaha...wanyita owaisheEnjae ya kyasha ndio ilikuponza, achana nayo.
Mkuu simu ilikuwa kwenye soksi nlifanya hivyo baada ya kujua nmeshaharibu.Walikuachiaje sim kirahisi hivyo sijawahi kuona wamiliki washamba kaisi hicho yani unaondoka na sim kirahisi hivyo mi nikjua utamaliza kwa kusema wakachukua sim
Post sent using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haaaa Haaa!
Nimekatika Maini Yote
Mkuu Kukurupuka Ni Kubaya
Sio Kwako Tu Inatokea Kwa
Watu Wote Sema Njia Tofauti
Nakumbuka Kuna Mdau Alihonga
Bar Kwa Matanuzi Ya Da Gama
Akisubiri Hela Iingie Mbona Aliishia
Kuosha Vyombo Vya Bar Na Makwenzi Ya Haja,,
Usisahau pia nao jinsia ya kike wanawadhamini wa akiba pembeniWanaotumia boom "kwa akili " ni jinsia ya kike tu, maana mpaka boom la pili linatoka yeye la boom la kwanza hajalimaliza!