Sitaisahau siku ya Jana

Sitaisahau siku ya Jana

Natamani ningekuwa namlinzi apo kukupa kipigo.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Walikuachiaje sim kirahisi hivyo sijawahi kuona wamiliki washamba kaisi hicho yani unaondoka na sim kirahisi hivyo mi nikjua utamaliza kwa kusema wakachukua sim

Post sent using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Haaaa Haaa!
Nimekatika Maini Yote
Mkuu Kukurupuka Ni Kubaya
Sio Kwako Tu Inatokea Kwa
Watu Wote Sema Njia Tofauti
Nakumbuka Kuna Mdau Alihonga
Bar Kwa Matanuzi Ya Da Gama
Akisubiri Hela Iingie Mbona Aliishia
Kuosha Vyombo Vya Bar Na Makwenzi Ya Haja,,
Mkuu huu msala huwa ni noma.

Senti furomu mai tekino wereva yuzingi jamii foramu mobaili apu
 
Back
Top Bottom