Sitaisahau siku ya interview

Ebhanaaaaah kwa hiyo shooo nzima na kunena kwa lugha hakuna cha maana mlichokiachaa ??

Au wewe ndo tulipishana ubaloziii wa trump unataka kwenda kumsalimia shemeji yako make huko sio wako tena


Mkuu usinikatishe tamaa, ipo siku yangu tuu. Hatimaye nifanikiwe.
 
Reactions: Lee
Mkuu usinikatishe tamaa, ipo siku yangu tuu. Hatimaye nifanikiwe.
bhasiii ungelimuomba akuachie Harrier make ungekuwa ushaiuza na kununua paso alafu wale waliomaliza pesa zako za bumu wajipange folen tena
 
bhasiii ungelimuomba akuachie Harrier make ungekuwa ushaiuza na kununua paso alafu wale waliomaliza pesa zako za bumu wajipange folen tena


Mkuu ila kuna deal litakamilika soon, kelele zote zitaisha humu jamvini. Si unajua mwenye njaa ndiye hupiga mayowe
 
Baah,.kwelii bwana wewee??
Kweli kabisa ..
Nilisomaga Msinjahili hapo, bahati mbaya namjua sana ile nyumba yake pale karibu na zahati ya halmashauri ndo ilikuwaga mitaa yangu ya kucheza mpira .
It was back then 2006.
nadhani enzi hizo wee ndo ulikuwa sisterduu wa Mkonge pale au lindi sec.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaa ulijuajee kweli ww damu yangu,.nilikuwa Lindi seco enzi za headmaster mng'umba
nilikuwa napenda kujidai mitaa ya beach blue Monday,raha leo kila weekend au peace beach hotel zamani oceanic...home palikuwa mtanda pa kishua enzi hizo njia ya cheleweni kama unakwenda kwa mama salama Kikwete...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…