Sitaisahau hii siku

Wanawake wasiri Sana ila wana mambo mazito...hapo huyu tuu kafunguka wakifunguka wote...wengine tutashukuru kwa vibuti tuliopiga siku chache na wengine wataacha wake na wachumba zao
Sasa je
Bora mie nafunguka na kutubu
Nataka kuanza upya msinipige mawe tu hahahaha
 
Ilikuwa enzi hizo
Nataka kuanza upya so natafuta closure nianze vizuri
 
Ndiyo madhara ya kukulana kwenye magari
We nawe si ndo nilikuwa nimeanza kazi,sa ulitakaje?afu sikujua atahitaj mechi, nilijua kama kawaida atanifata home,tutaenda ofcn then baadae tutasuluhisha
Sema waligombana sana na mkewe hadi akatishia kuondoka
Sema mkewe aligeuka mbogo ukawa ugomvi usioisha
Hadi leo niko naye
Mkewe aligoma kumsamehe so akadecide awe nami permanently
Kwan magomvi yasoisha yalikuwa daily
 
Daaah yaani gari hilo hilo na watoto wake wanapanda humo! Kwanini tusiwe waadilifu
Dah hata hili nalijutia
Ingawa ashabadil gari
Sema naona kama nakosea
Nimeshauri mara kibao wayajenge na mkewe,mkewe kakataa
Na yeye kaamua kuzaa na kuoa kabisaa kwa dc
Sipend hii situation that's y naumia and nasema nipate ahueni
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…