sitaipenda CHADEMA HADI KUFA

Hatutafika mahali tupatakapo mpaka tutakapoacha ushabiki wa vyama na kuangalia kila jambo kwa jicho la tatu. Dhambi ni dhambi tu hata kama itafanywa na malaika

 
duh, e bwana pole sana maana utafura hadi upasuke hii nchi ni chadema!!!
 

 

Ndugu Kupe,acha kupotosha ukweli mchana kweupe,wananchi kwa hiari yao(siyo kwa kushawishiwa kama unavyodai) wanajitokeza wenyewe kwenye mikutano na maandano ya kudai haki zao. CDM ipo kwenye miono yao,wanaamini Mungu amewapa daraja la kuvuka kutoka kwenye ufisadi,mauaji holela,ukosefu wa huduma za jamii etc. Mwaka 2015 utaisoma namba. M4C inasonga mbele,
 
we kweli njiwa, inawezekana baba yako ni fisadi

depends definition ya FISADI



ahh! nivea tell me another joke

Ni wa dini gani?

sijui all i know they are anti Muslims
 

Wewe unaiona Chadema inataka uraisi lakini hauoni upande wa pili wa wale ambao hawako tayari kuachia madaraka kwa kutumia mbinu mbali mbali kama kuzuia shughuli za kisiasa kwa vyama vingine, kutumia polisi kuwatisha watu, kuzuia mikutano pasipo na hoja/sababu za msingi, kutumia mabomu na risasi za moto kwa raia ambao hata jiwe mkononi hawajashika n.k. Hiyo amani unayoizungumzia wewe iko wapi? Unasikia mauaji yanayotokea kila mara huko kwenye machimbo? Hiyo ndio amani unayojaribu kuibwagiza hapa? Amani ya nchi hii ilikufa na Nyerere yaliyobaki ni maigizo tu ya amani.

Kwa taarifa yako, CHADEMA haitarajii kupendwa na watu ambao hawawezi kuona mbali kama wewe.

Tiba
 

una akili sana! We fikiria wao wana maisha mazuri, eti sisi wananchi wenye umaskini wanatuadaa tunauawa! Kwani hata wao wakiingia ikulu watafanya nini la maana? Waweza kukuta tena wao ni wabaya mno kuliko hawa wanao2ibia lakn tuna amani. Nami nawachukia kwa UNAFIKI WAO.
 
Jina lako "NJIWA" ni nzuri na tamu kutamka, ila yatokayo akilini mwako ni uchafu mtupu!
nafuu "KUPE' inaeleweka anapenda kuvuna asipopanda tena kwa kung'ang'ania kama MAGAMBA!

I will remain the Instrument for Change!

Kupe una point.. alafu hongera cdm ni janga la kitaifa.. watu kama wewe ndio wazalendo mnaohitajika.. hawajamaa chadema mi nawachukia sababu wadini sana..
 
huyu Kupe na walewale wavivu wa kufikiri na wenye dhiki ya akili, ningekua Invisible nisingempa acces ya hili jukwaa ningemruhusu awe anaishia jukwaa la jokes na jukwaa la mapishi tu
mtu kama huyu unategemea hata jokes ataweza kutoa? zile zinahitaji mtu awe na akili bwana. Jokes inatakiwa ukisoma uweze kucheka, huyu atamchekesha nani?
mapishi, unataka atulishe sumu?
sema aruhusiwe kusoma tu busara za wenzake
 
kila siku nasisitiza hii sio forum ya wasela,mambo km hayo kaweke face book sawa,halafu acha kutaja jina la muumba kwa mambo yako ya kishenzi
 


Jina lako "NJIWA" ni nzuri na tamu kutamka, ila yatokayo akilini mwako ni uchafu mtupu!
nafuu "KUPE' inaeleweka anapenda kuvuna asipopanda tena kwa kung'ang'ania kama MAGAMBA!

I will remain the Instrument for Change!


hongera!

 
kweli wewe pimbi sana, yaan umepoteza muda wako kutuambia ***** kama huu..... CHADEMA siku hizi wamekua POLISI??? katika picha za kifo cha mwandishi Daudi umeona picha ya mfuasi wa CHADEMA? kwanza polisi kuuwa watu ni njama za ccm kutaka kuizoofisha chadema, watu wanavyouliwa waogope kwenda kwenye mikutano kupata ukwel wa mambo.
 
wewe hutaipenda chadema, ila wengi zaidi yenu mnaoichukia tutaipenda hadi kufa, kwani yenyewe ndo inasababisha hayo mauaji? ichukie serikali inayokuongoza,hao ndo wanasababisha hayo yote, ukisema ivyo unakosea kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…