Wana platform ya kuzungumzia, na ndiyo kazi yao! Kuwasemea wanyonge! Tunaunganisha nguvu, wao wamekaa kimya.Unasubiri watu wengine wakupiganie, wakati u kimya. Kwa nini usianze wewe. Hili Si jambo LA kuwatwisha viongozi Wa dini tuu. Fikiria
Mungu huoy atakuwa mpumbavu kama hatajua cause and effect... the principle of causation! Huyo si Mungu ni mwanadamu!Siku ya kiama Mungu hatakuuliza habari za wanasiasa, Pengo wala yeyote atakuuliza habari zako tu utajijua.
Wewe kumbe mleta mada ni kafiri.Kafiri toka lini akaenda kanisani?Mungu huoy atakuwa mpumbavu kama hatajua cause and effect... the principle of causation! Huyo si Mungu ni mwanadamu!
Yanayoabdikwa humu yana impact? Basi kila kitu kifungwe!watajua kweli kuwa unamgomo?
Kafiri mama yakoWewe kumbe kafiri
Exactly, we need to have a startTaratibu idadi ya wasiohudhuria itaongezeka na kanisa kuanza kujiuliza KULIKONI?
Mkuu hata kama wata ni pyu pyu, hakuna atakae ishi milele katika mwili huu.Mkuu umeongea kitu kizito
hop umejificha vizuri.
wewe nawe ng'ombe kweli kwa hiyo unaenda kanisani kwa kufuata watu sio neno la din?? jiongeze wewe hao watu wapo waseme wasiseme hiyo haikuhusu pia unaweza kusimama kanisan na kusema mbele za waumini nayo itapendeza zaidi au vpSitaenda Kanisani kuonyesha kupinga Ukimya wa "viongozi wa dini" kushindwa kukemea maovu ya awamu hii.
Maadamu wajinga wa dini bado wanajazana kwenye majumba ya Ibada, sadaka zinatolewa, usalama wa kula yao bado upo. Wanaogopa, wanaogopa!
Ngoja nimsikie Pengo leo atasema nini, asivyo na Aibu!
Sawa sawa mkuu nimependa careji yako.Mkuu hata kama wata ni pyu pyu, hakuna atakae ishi milele katika mwili huu.
Kama hutokwenda Kwa Church Nivizuri Si Vibaya LakiniSitaenda Kanisani kuonyesha kupinga Ukimya wa "viongozi wa dini" kushindwa kukemea maovu ya awamu hii.
Maadamu wajinga wa dini bado wanajazana kwenye majumba ya Ibada, sadaka zinatolewa, usalama wa kula yao bado upo. Wanaogopa, wanaogopa!
Ngoja nimsikie Pengo leo atasema nini, asivyo na Aibu!
Ng'ombe mama yakowewe nawe ng'ombe kweli kwa hiyo unaenda kanisani kwa kufuata watu sio neno la din?? jiongeze wewe hao watu wapo waseme wasiseme hiyo haikuhusu pia unaweza kusimama kanisan na kusema mbele za waumini nayo itapendeza zaidi au vp
Goma kula chakula mkulu.How do you show protest? This is the only feasible way to me!