How do you show protest? This is the only feasible way to me!Hawa watu kukaa kimya bado sio sababu tosha ya wewe kutokwenda church.
Sitaenda Kanisani kuonyesha kupinga Ukimya wa "viongozi wa dini" kushindwa kukemea maovu ya awamu hii.
Maadamu wajinga wa dini bado wanajazana kwenye majumba ya Ibada, sadaka zinatolewa, usalama wa kula yao bado upo. Wanaogopa, wanaogopa!
Ngoja nimsikie Pengo leo atasema nini, asivyo na Aibu!
unamkomoa nani. nani alikuambia yesu yupo kanisani tu.mbona wazungu wengi walishaachana na haya mambo ya makanisa kwa ujinga kama huuSitaenda Kanisani kuonyesha kupinga Ukimya wa "viongozi wa dini" kushindwa kukemea maovu ya awamu hii.
Maadamu wajinga wa dini bado wanajazana kwenye majumba ya Ibada, sadaka zinatolewa, usalama wa kula yao bado upo. Wanaogopa, wanaogopa!
Ngoja nimsikie Pengo leo atasema nini, asivyo na Aibu!
watajua kweli kuwa unamgomo?How do you show protest? This is the only feasible way to me!
watajua kweli kuwa unamgomo?
Sasa mkuu mbona nawe unaeneza uovu tu. Unaposema "...manadamu wajinga wa dini...", hii ni chuki tu.Sitaenda Kanisani kuonyesha kupinga Ukimya wa "viongozi wa dini" kushindwa kukemea maovu ya awamu hii.
Maadamu wajinga wa dini bado wanajazana kwenye majumba ya Ibada, sadaka zinatolewa, usalama wa kula yao bado upo. Wanaogopa, wanaogopa!
Ngoja nimsikie Pengo leo atasema nini, asivyo na Aibu!
Yesu alikuwa chama gani ?Sitaenda Kanisani kuonyesha kupinga Ukimya wa "viongozi wa dini" kushindwa kukemea maovu ya awamu hii.
Maadamu wajinga wa dini bado wanajazana kwenye majumba ya Ibada, sadaka zinatolewa, usalama wa kula yao bado upo. Wanaogopa, wanaogopa!
Ngoja nimsikie Pengo leo atasema nini, asivyo na Aibu!
Kweli wewe ni Great thinker [emoji122]watajua kweli kuwa unamgomo?
Yesu alikuwa chama gani ?
....hakuweza kusimamia haki yake mwenyewe !Alikuwa anasimamia haki ya wanadamu, haki ambayo nchini kwetu inazidi kupotea kila kukicha.