Sita kasoro 11:45

Sita kasoro 11:45

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,456
Reaction score
872,090
attachment.php
 
Attachments

  • 1405594052272.jpg
    1405594052272.jpg
    8.4 KB · Views: 1,239
Wengi wangetamani vifua vyao vibaki hivi but unfortunately enough its too late vidonge vya uzazi abortion na vyakula vya supermarket vimeharibu kila kitu
 
Huku ndiyo kudhalilisha utu wa wengine hivyi yuko mtu anaweza posti picha ya dada,mama,au mke wake akiwa maziwa wazi hata kama yawe mazuri namna gani!.hii ni sawa na picha ya utupu, moderator picha kama hizi muwe mnaziondoa m,ara moja zikipostiwa vinginevyo kama hamuoni umuhimu hata picha za utupu msiziondoe.
 
Mkuu hakuna udhalilishaji hapo, hiyo ni desturi kabisa ya watu fulani fulani, assume umepata post ya kufanya kazi katika jamii hiyo utawanunulia nguo ili waache kubaki wazi hivyo?
 
kwa hiyo wewe unaona sawa kuleta hapa hii picha sikubaliani nawe, tusitumie kigezo cha desturi kudhalilisha wanawake.hebu tupia basi picha hata ya dada yako ambayo hata hayuko kifua wazi tuone kama una ujasiri huo achilia mbali kuwa uchi.
 
yani unaenda kumpiga maji na bomba la mvua kwa takribani dakika 20 hivi,baada ya hapo ni x mwanzo mwisho....dayum!
 
Huku ndiyo kudhalilisha utu wa wengine hivyi yuko mtu anaweza posti picha ya dada,mama,au mke wake akiwa maziwa wazi hata kama yawe mazuri namna gani!.hii ni sawa na picha ya utupu, moderator picha kama hizi muwe mnaziondoa m,ara moja zikipostiwa vinginevyo kama hamuoni umuhimu hata picha za utupu msiziondoe.

Nenda kwa Wapokoti wa Kapoeta South Sudan ukutane na wanaume wanatembea uchi wa mnyama halafu urudi hapa utwambie nani anawadhalilisha hao. Huo ni utamaduni wao hivyo suala la kudhalilishana aliingii hapa.

Tiba
 
kwa hiyo wewe unaona sawa kuleta hapa hii picha sikubaliani nawe, tusitumie kigezo cha desturi kudhalilisha wanawake.hebu tupia basi picha hata ya dada yako ambayo hata hayuko kifua wazi tuone kama una ujasiri huo achilia mbali kuwa uchi.

Hujajibu hoja, ukipelekwa huko utawanunulia nguo? Unataka kupingana na mila zao? Kuna udhalilishaji upi kama wao wanaona ni muafaka. Usiwachagulie maisha bwana.
 
Wengi wangetamani vifua vyao vibaki hivi but unfortunately enough its too late vidonge vya uzazi abortion na vyakula vya supermarket vimeharibu kila kitu

Hasa mijini wanapatikana kwa 0.89%, wengi wao wameyapiga tanganyika jerk, yaani ni kama malapa
 
Back
Top Bottom