Ng`wanakidiku JF-Expert Member Joined Apr 18, 2009 Posts 1,195 Reaction score 232 Apr 20, 2012 #1 Wadau, hivi hili valangati la sahihi sabini lingekuwa chini ya bwana 6 ingekuwaje? Maana pamoja na tuufisadi twake ila alikuwa anaangalia wengi wanasema nini. Na kichwa cha habari kingesomeka "Sita amtosa Pinda" Je wewe mtizamo wako upoje?
Wadau, hivi hili valangati la sahihi sabini lingekuwa chini ya bwana 6 ingekuwaje? Maana pamoja na tuufisadi twake ila alikuwa anaangalia wengi wanasema nini. Na kichwa cha habari kingesomeka "Sita amtosa Pinda" Je wewe mtizamo wako upoje?