Sita anasema kwamba wapo wafanyabiashara wanamhujumu Rais Kikwete. Kwamba Sitta anawafahamu hao watu. Hivi Mh. Sitta kama Rais anawafahamu wanaomhujumu na hawachukulii hatua Tumuiteje Mh. Rais. Kuna Viongozi wengine wanatoaga kauli za Kuwalamba Miguu Mabos wao Kumbe wanawadhalilisha. Kwamba Sitta anamaanisha kwamba pamoja na Nguvu zote alizonazo Rais lakini anawaachia wanaomhujumu?
Hawa ndio wale waumini wa ile kauli ya "Rais anaangushwa na watendaji wake", inaniudhi...! Kama anaangushwa yeye utendaji wake ni upi kama sio kuwachukulia hatua hao appointees wake?Sita anasema kwamba wapo wafanyabiashara wanamhujumu Rais Kikwete. Kwamba Sitta anawafahamu hao watu. Hivi Mh. Sitta kama Rais anawafahamu wanaomhujumu na hawachukulii hatua Tumuiteje Mh. Rais. Kuna Viongozi wengine wanatoaga kauli za Kuwalamba Miguu Mabos wao Kumbe wanawadhalilisha. Kwamba Sitta anamaanisha kwamba pamoja na Nguvu zote alizonazo Rais lakini anawaachia wanaomhujumu?
TUAMBIANE wapinga serikali tatu ilivyo gahrama kuziendeshaukilinganisha na sasa! Kwenye Sosholojia kuana kitu tunaita CONSUMPTION BEiHAVIOR-kwamba idadi ya watu kwenye familia si sababu pekee ya kwamba chakula kitaliwa kingi! Kuna sababu ya watu wachache kula Chakula kingi na watu wengi kula chakula kidogo! Mtu mmoja aweza kula chakula cha watu wanne kama ilivyo watu wanne kushiba kwa chakula cha mtu mmoja..!Kuwa na viongozi wengi wasio walafi ni bora kuliko viongozi wachache walafi wa mali ya UMMA....Viongozi wa sasa ni walafi....
Nchi tatu za nini..Tanganyika yetu basi tufe na shida zetu..yani mkoa 1 tu unatusumbua vichwa vyetu?aaaah
ni kweli mkuu, muundo wa serikali tatu utaliongezea mzigo taifa letu masikini!!?
Sitta ana Miaka 70+ ubongo umezeeka msameheni
Sitta ana Miaka 70+ ubongo umezeeka msameheni