Sister Duh Lara 1 atembelea Mbeya

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
79,037
Reaction score
168,677
Kuna mdada wa Dar sister duh kichizi anaitwa lara 1 alienda Mbeya akaonyeshwa shamba la viazi mviringo.....akaambiwa zile chips mnazokula Dar zinatokana na hili zao........Mdaa akohoji........KWA HIYO HII NDIYO MICHIPSICHIPSI?
Tangazo hili linaletwa kwenu kwa msaada wa watu wa mpalu
 
Last edited by a moderator:

Alishangaa vipo ki ajabu ajabu tu.. Hajui wenzie wasafwa wanatoka milimani na debe la viazi anauza mjini buku jero afu ananunua chipsi za buku anarudi nazo home...
 
Last edited by a moderator:
Wasafwa noma, hasa wale wa Iziwa

Asikwambie mtu aisee... afu inawezekana lara 1 nae ní msafwa ati...!! unajua wadada na wamama wa kisafwa wa vijijini ndo hupenda kunyoa nywele zote kama lara 1
 
Last edited by a moderator:
Baba v mnawaonea sana wasafwa nilivyofika mbeya nilipewa hiz story kuusu wasavya
1.Kuna msafwa alipewa lift ya gali na jamaa mmoja hiv kutoka Iringa had uyole bure.Walivyofika uyole msafwa akasema asante nashukia hapa,jamaa akamuuliza unakaa mbali na hapa? Yule msafwa akamjibu hapana,Mwenye gali akamwambia samahani gali yangu naona imeishiwa maji naomba kaniletee akampa kidumu cha lita 5..msafwa akamwambia hela ipo wap? Mwenye gar akamuuliza yanin? Msafwa akajibu maji kwangu huwa sitoi bure
2.Inasemekana wauzaji wa mbogamboga pale Kabwe(sido) zikabaki huwa wanazitupa kule Airport na ili watu wasiokote huwa wanazikojolea kabisa

Hizi story kwa msaada wa Mnyakyusa wa Tukuyu

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 

Ngoja aje Msafwa wa swaya athibitishe haya haha ha ha ha haaaaaa...
 
Last edited by a moderator:
si unajua kila mtu mjanja kwenye mazingira yake..........
 
Wachezaji hao walikuwa na skillz sawa na za kina Messi, ligi inaishi mtu amesha cheka na nyavu mara 56 sio siku hizi kina ngasa wanafunga tugoli tuwili tu ligi nzima
baada ya hapo kapotea.....hao jamaaa kila msimu mchezaji alikuwa na goli zake za kutosha hata kama sio mfungaji bora wa ligi....
 
Smart lakini wanaloga na kutoa kafara balaa!
Nilikuwa na maid mkinga alikuwa anasema kabadili kabila, she is a nyakyusa.

Umepona?
Hahahaaaaaaaaaaaaaa! Ningekuwa mtu wa kusini ningekuwa MKINGA i guess, coz those MF are indeed fast and smart
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…