BABA JUICE
JF-Expert Member
- Sep 5, 2010
- 426
- 54
nimegundua mtu au taasisi fulani zinaweza kunyima uhuru wa mtu kwa kulinda maslai yake au yao...kabla ya kumlaumu mtu,watu au taasisi fulani kwa kuwa wabinafsi tujiangalie sisi kwanza....tusiwe wanafiki kwa kutoa maoni hapa wakati nafsi zetu ni za kibinafsi......utaifa haujengwi kwa ubinafsi na maslai binafsi.natamani nieleze kwa uwazi zaidi lakini mwenye akili kaelewa.....tusidanganyane hakuna uhuru wa kutoa mawazo hapa au popote pale....TUJENGE PAMOJA.:angry: