Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,117
- 16,506
Kwani ndugu yangu unajuwa Kiswahili wewe? Ni lugha yako ya ngapi? Kwa upande wangu hata kama nyerere asingeleta utawala zanzibar ningeendelea kukkitumia Kiswahili kwani ni lugha pekee niliyofunzwa na wazee wangu, nyenginezo nilianzia shule kama wewe vile ulivyoanzia shule kwa kiswahili! Pole sana kufikiri kuwa kiswahili kiko hivyo unavyojuwa wewe tu!
Ndio wazazi wako walikwambia NYENGINEZO?
Yaani nyie ingekuwa amri yangu, ningewapakia kwenye kontena la futi 40 na kuwapakia kwenye Aziza na kuwarudisha kwenu Nungwi, mnatuchafulia ardhi yetu tu kwa kuzaa sana