Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,077
- 34,849
Last edited by a moderator:
Vitu vingine vipo wazi sio mzizi mkavu mpaka afafanue tumia akili utapata jibuMzizi mkavu shuka basi na tumaelezo kdg.
Umesema ukweli Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere.
Mkuu, mimi sikufichi juu ya huu Muungano wetu. Binafsi sioni faida yeyote ya kuigombania Zanzibar labda niko unreasonable tu ila sijijuwi. Zanzibar nimeenda mara nne katika maisha yangu na hakuna cha maana kule zaidi ya bugudhi tu, oh huyu mbara, huyu sijuwi ni nani, why? Mimi nilienda kule kwa mapenzi yangu ya uzalendo, nilikuwa sijawahi kufika kule japo si mbali na Dar. Mara ya kwanza nilienda na washikaji tu kwenye school trip, yaani tulipanga sie wenyewe si shule. Mara ya pili nilienda na wife na shemeji yangu. Then nikaenda na wazazi wangu na kuwaacha huko wa enjoy, then nikarudi kuwachukua. Hivyo naifahamu vizuri tu Zenji, vijijini kuna raha zaidi kwani kuna uungwana ila hawa wa mijini ni vituko tu. Hawana kazi zaidi ya kucheza karata, kunywa kahawa, kusali, kulalamikia muungano, na chuki za kijinga. Kama ni hivi kwa nini wasiachiwe wakae na Uzanzibari wao ili waarab warudi na kuwafanyia yale aliyoyaua Karume? Yaani wanaona sifa kunyanyaswa na waarab ndani ya nchi yao, sawa mkataa pema pabaya panamuita, weweeee njooooo nikuchinje!
Kauli zako tirigivyogo, matendo yako hayaeleweki! Umtu wa ajabu sana kujipa tabu bila sababu. Hivyo mwenye akili hupigwa zaidi ya mara moja kwa kosa hilo hilo? Labda mwenye akili ya kuku anaesahau kuwa aligonwa muda mfupi uliopita.
Nafikiri maneno yako ya mwanzo ndio sahihi! "au sijuwi niko unreasonable au sijijuwi" Kauli zako zinakubaliana na ulivyojitathmini. Uko unreasonable na hujujuwi, pole ndugu yangu lakini mtu kudai chake si makosa!
Naona unatokwa na povu bure. Soma tena ili uelewe si unasoma ili ukosoe, ungeelewa usingeandika haya, ila si kosa lako.
Umeandika mwenyewe au uliandikiwa na mtu? kwani ulikuwa hujuwi kuwa tumo tunaothamini hicho unachokidharau?
kama wewe si mkenya, utakuwa m drc au mrundi ama mnyarwanda, uko hapa kuchochea watanzania tu. Kiswahili chako, na maandishi yako ni ushahidi tosha.
hamna JK mtupu kama huyu wa B,moyo
Umeandika mwenyewe au uliandikiwa na mtu? kwani ulikuwa hujuwi kuwa tumo tunaothamini hicho unachokidharau?