Nyamesocho
JF-Expert Member
- May 5, 2023
- 476
- 1,244
Hakuna kipindi kigumu walichopitia watumishi kama kipindi cha Mwendazake. Mwendazake aliwafanya watumishi kama madekio na watoto wadogo kwa ahadi za uongo.
Vitisho, ubabe viliongezeka kipindi cha Mwendazake, hakuna nyongeza, hakuna madaraja, TUCTA wakaufyata, kila kiongozi wa serikali ya kijiji, mtaa, Diwani, kila anayeitwa kiongozi aliweza kumkoromea na kumtishia mtumishi wa serikali.
Mwendazake amesababisha walioajiriwa zamani na karibuni kuwa kundi moja kwenye madaraja, yaani mnafanana mfano aliyeajiriwa 2009 na 2014 wanalingana mishahara kitu ambacho si haki.
Tangu Mama Samia aingie mtumishi amekuwa ahueni, serikali ya Mama Samia inawajali watumishi kama enzi za Kikwete.
Nashangaa hela zinatoka wapi sasa kwa sababu Mwendazake alikuwa akidai bajeti imeelekezwa kwenye miundombinu, Mama Samia bado anaendeleza miundombinu hiyo, madarasa yanajengwa, watumishi wanaajiriwa, watumishi wanapanda madaraja, mishahara inapandishwa, Mama Samia anatoa pesa wapi?
Mungu azidi kumbariki Kikwete na Mama Samia, hao wengine watajua wenyewe.
Sitasahau kuna watu waliwadharau sana watumishi, si kazini, mtaani mpaka mtandaoni, wengine humu JF walidiriki kusema kama unaona kazi ni ngumu acha kazi lakini siku hizi!