Sisi Watanzania ni waoga sana

Sisi Watanzania ni waoga sana

Having said that sisi tumekuzwa kwenye majadiliano, sasa haya unayosema wewe sijui umeyatoa wapi ya kutaka watu wapigane risasi hatuna hiyo history inayotulazimu kutumia silaha.
Wewe utakuwa haupo sawa.

Umeona post hata moja inazungumzia hicho ulichokiandika?

Alafu pia... chochote kinawezekana inapobidi.
 
Kwa hiyo unataka tupigane kama wasomali sio bwana Hamza? Hebu tuache aisee
Wapi nilipoandika nataka tupigane mkuu mi ni mpenda amani Kama ninaona utawala uliopo aunifurahishi ntasubiri kufanya mabadiliko kupitia haki yangu ya kikatiba ambayo ni uchaguzi.
 
Na hili ndio tatizo letu kwa asilimia kubwa. Hawa viongozi wametufanya tuwe waoga ata kuwaambia ukweli, naam siku zote ukweli ni mchungu na hakuna dawa tamu dawa ni chungu.

Hawa viongozi wanatukosea sana na wanafanya vile watavyo wakijua hakuna wa kuwafanya chochote kile, huo ni uonevu mkubwa mno. Inapaswa tusimame sisi kama sisi kujitetea bila hivyo watazidi kutuburuza kila uchwao.

Hawa watu wametuhimiza tosome kwa juhudi kwa ajili ya taifa letu, naam tumetii agizo lao na tumehitimu vizuri matokeo yake hawataki kutupa ajira. Ukisema hivyo kuna malimbukeni watakwambia kwamba usisubil serikali ikuajiri kivp kwani bila ww kuna serikali?

Hawa viongozi wamefanya maisha kuwa magumu sana, kiasi kwamba mtu unafikisha miaka 30 huna mbele wala nyuma hujui ata ufanye nn. Hawa jamaa wanatukosea sana
Kati ya kubanwa pumbu..na kuongea ukweli...chagua moja
 
Moja kwa moja kwenye dhumuni la mada husika, baadhi ama asilimia kubwa ya sisi watanzania tumekuwa waoga sana kwenye nyanja mbalimbali. Napenda kusemea kwenye nyanja ya hawa viongozi wetu, binafsi sio muumini wala mdau wa siasa ila kwa ninayo yaona na niliyo yaona yamenisukuma kuandika uzi huu.

Hawa watu wanaojiita viongozi katika serikali yetu wamekuwa waovu sana kwetu. Yaani kuna mambo wanafanya bila ya huruma ata chembe, bahati mbaya sisi walengwa tumetulia tu bila kuchukua hatua yoyote ile. Hawa jamaa wanatupeleka tu vile wanataka wao bila kujali ni zuri ama baya.

Jamaa kwakua wao tayari wana maisha mazuri basi wanajiamulia tu wanavyo taka. Mikataba wanayo ingia kila siku na nchi za huko wanako jua wao sio rafiki kwetu yaani full kutuburuza tu, jamaa hawana huruma kabisa. Kuna baadhi ya maeneo mpaka leo huduma za muhimu mpaka leo hakuna.

Kwa nchi kama Tanzania hatukupaswa kuwa hivi tuna kila kitu ila hawa viongozi wetu wao wanajua kujijali wao tu.

Niko kwenye hatua za kwenda kuwashtaki kwenye mahakama ya juu kabisa.

Kuna mambo yanauma, yanakera hadi ufanye nini basi? Si bora hata mtu ucheke yaishe?

Hao watanzania unaowaongelea mkuu kuwa ni waoga wanasubiriwa wateremke kama mvua? Bila organization wala uongozi inawezekana kweli kufanya lolote lenye tija?

Nini kazi ya vyama vya siasa? Nini tofauti ya vyama vya siasa na Saccos?

Kwa maelezo yako, ni wazi kuwa tatizo liko kwenye vyama vya siasa na hasa vya upinzani kwa kutokuwa ni mikakati ya kuyapiga vita maovu.

Uongozi ni watu.

Mbowe akiwa gerezani, Lissu akiwa nje ya nchi aina ya kina Heche, Kigaila, Lwaitama, Mdude na wa namna hiyo wanapaswa kushika hatamu za uongozi.

Vita vya mitandaoni havina tofauti na kelele za chura.

Kina Ulimwengu, Shoo, Mzee wa Upako, Mwingira, Bagonza, Niwemugizi na wenzao busara zao haziwezi kuachwa revisited from time to time kwa way forward.
 
Moja kwa moja kwenye dhumuni la mada husika, baadhi ama asilimia kubwa ya sisi watanzania tumekuwa waoga sana kwenye nyanja mbalimbali. Napenda kusemea kwenye nyanja ya hawa viongozi wetu, binafsi sio muumini wala mdau wa siasa ila kwa ninayo yaona na niliyo yaona yamenisukuma kuandika uzi huu.

Hawa watu wanaojiita viongozi katika serikali yetu wamekuwa waovu sana kwetu. Yaani kuna mambo wanafanya bila ya huruma ata chembe, bahati mbaya sisi walengwa tumetulia tu bila kuchukua hatua yoyote ile. Hawa jamaa wanatupeleka tu vile wanataka wao bila kujali ni zuri ama baya.

Jamaa kwakua wao tayari wana maisha mazuri basi wanajiamulia tu wanavyo taka. Mikataba wanayo ingia kila siku na nchi za huko wanako jua wao sio rafiki kwetu yaani full kutuburuza tu, jamaa hawana huruma kabisa. Kuna baadhi ya maeneo mpaka leo huduma za muhimu mpaka leo hakuna.

Kwa nchi kama Tanzania hatukupaswa kuwa hivi tuna kila kitu ila hawa viongozi wetu wao wanajua kujijali wao tu.

Niko kwenye hatua za kwenda kuwashtaki kwenye mahakama ya juu kabisa.
Tupe update chief umefikia wapi

Je ushawafungulia kesi

Ova
 
Sijui kwanini ule mwenge unaetembezwa huwa unanipa mashaka sana..alieutengeneza ni genius sana.lile ni limbwata fulu
Tena limbwata kweli,huwa Wana mambo yao mazito tuu
 
Siyo kwamba Watanzania waoga, ila Tanzania hela inayoendesha maisha ya watu nyingi haipo kwenye mfumo, kwahiyo maisha kikanjanjakanjanja yanaenda hata bei zipandishwe bado dili zinapigwa tunafidia gap maisha yanaenda...

Sasa mpaka siku mpaka mama Muuza Vitumbua na Mchicha watakapopewa EFD kwamba kila Transaction inayofanyika ndani ya ardhi ya Tanzania ilipiwe Kodi ndo akili itatuingia..
 
Back
Top Bottom