Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,541
- 106,954
Inachekesha, kipindi Richard na Mwisho wanawameng'enyua dada wa nchi za watu tulifurahia kwa nguvu zoote! Sasa dada yetu Bhoke kaminywa tunawika ati ametuaibisha! tuache mambo ya ajabu ni peremende zake! heheheheh...