Sisi Wasukuma, ni nani aliyeturoga?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,871
155,840
Kwa kweli sisi ni washamba sana na malimbukeni.

Sisi ndiyo tunaouza ng'ombe tukale chips kuku na wanawake.

Uchawi tumo sana, UMUGHAKA anaujua muziki wetu.

Sisi ndiyo tunapiga mapicha na mapozi ya ajabu.

Kupiga wrong number sasa.....dadad dadada dadadaaa.

Sisi ndiyo tuna kila kitu cha ajabu, licha ya kwamba Mungu ametutunuku nguvu, akili, maarifa na jitihada. Sehemu akiingia Msukuma maendeleo yanakuja.

Haya mambo ya Mshana Jr yanamuhusu saana

Na Kwa bahati mbaya nae ni WA mlango ule sijui hiyo kafara kama itafanikiwa na kupokelewa kweli
 
Wasukuma wa Mbagara na mkuranga wengi wana uchungu na yanga coz videm vyao ni vizaramo viwafanya wawe 'wajinga' ili wasirudi ktk usukuma og 🤣
 
Sisi wasukuma tuna ukabila kwa kwenda mbele halafu tukipewa kazi tunawaza chips na wanawake. Kwa ujinga wasukuma wanaongoza, Wana Imani K ya mwanamke mweupe Ni tamu kuliko ya mweusi.
Kwa ushirikina na uchawi tunaongoza.
Kama wewe sio msukuma tafadhali usioe/olewe na msukuma.
 
Ungejua wanawake wanavyotupenda wasukuma..kwanza tuna nguvu za uhakika mana tunakula sana..hivyo tunapelekea moto sio mchezo.

Pili tunnafanya kazi sana kilimo..biashara n.k hivyo vijipesa vya kuhonga havikosekani natunahongaga kweli kweli hasa demu akiwa mweupe.

Tatu tuna miili mikubwa warefu siunajua mademu wanapendaga wanaume warefu na weusi..kwahiyo wanatushobokeaga wenyewe.

Yani hiiiiiiiii wewe achaga tu tunawa tafunaga...lekaga gete bhahebhu.

Wabeja sana..wasukuma ndoho tabhu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kumbe siku hizi mmeanza kuwa na akili.....

Hongereni sana, ila tunajuta tulivyowapa nchi kwa bahati mbaya mpaka Mwenyezi Mungu alipoamua kufanya maamuzi magumu kwa kutuonea huruma....
 
Sisi wasukuma tuna ukabila kwa kwenda mbele halafu tukipewa kazi tunawaza chips na wanawake. Kwa ujinga wasukuma wanaongoza, Wana Imani K ya mwanamke mweupe Ni tamu kuliko ya mweusi.
Kwa ushirikina na uchawi tunaongoza.
Kama wewe sio msukuma tafadhali usioe/olewe na msukuma.
Mbona kama unahamasisha tutengwe na dunia yote?
 
Kwani haiwezekani hawa wasukuma tungebadilishana hata na wasudani kusini? Yaani tunawachukua baadhi ya wasudani halafu wao tunawapea wasukuma!! Wakapigwe na njaa ili wapate akili 😂😂
Hahah hahah hahah labda mbadilishane na Waisraeli, ndio maana asali na maziwa vinapatikana wanapoishi Wasukuma tu
 
Sisi wasukuma tuna ukabila kwa kwenda mbele halafu tukipewa kazi tunawaza chips na wanawake. Kwa ujinga wasukuma wanaongoza, Wana Imani K ya mwanamke mweupe Ni tamu kuliko ya mweusi.
Kwa ushirikina na uchawi tunaongoza.
Kama wewe sio msukuma tafadhali usioe/olewe na msukuma.
Noma sana!

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom