Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,332
- 72,655
Mbona kama umepanic aisee na nimeuliza swali la kawaida tu?? Mimi na wewe kwani tuna ugomvi wowote??Na wewe unanifata fata sana,ipo siku utapata unachostahili
Mbona kama umepanic aisee na nimeuliza swali la kawaida tu?? Mimi na wewe kwani tuna ugomvi wowote??Na wewe unanifata fata sana,ipo siku utapata unachostahili
We tulia tu ipo siku ntakunyoa kwa jivu we kijana tulia tuMbona kama umepanic aisee na nimeuliza swali la kawaida tu?? Mimi na wewe kwani tuna ugomvi wowote??![]()
SawaWe tulia tu ipo siku ntakunyoa kwa jivu we kujana tulia tu
Una vimelea vya ushogaUnakuta unemtolea mkeo mahari ya laki tano (500,000) tu ,na ukingalia mpaka sasa mnamiaka kumi kwenye ndoa lakini bado unawivu tu.
Atii nimemtolea pesa yule mwanamke, kidume unajisifu kitaa.hivi wanawake wakiamua kukomaa na kugawanya pesa yako kwa mwaka nisawa kila siku umemtolea kiasi gani kwa huduma unayopewa?
Maana mwanamke huyo
Anakupikia
Anakuzalia watoto
Anavufua
Anakupa huduma ya usiku
Mtazamo wangu tu ilipaswa tutoe mahari kila mwaka ili kumpa thaman mwanamke. Kama tunavyolipa kodi ya serikali.
Ila ni mtazamo tu ba ndugu